Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

Kaburi hakuna??? Kimbia
 
Nenda kausikilize Tena wimbo wa Mwana FA utapata ushauri kupitia huo wimbo.Japokuwa yeye kaoa lakini sio single Maza.

Kazi kwako lodilofa
 
Ulipo andika hapo eti Baba Mtoto huwa anatoa matumizi kidogo ndiyo nimeona kabsa huyo Binti hakufai Mkuu.
Wanawake ni waongo sana unaweza kuta huyo Baba Mtoto wake anahudumia ila kuweka mahusiano yenu strong anamua kukudanganya. Sikushauri kabsa.

To be honest mm pia mhanga kama wewe ila saivi najuta sana, she was loyal during our date before marriage na niliona kabsa she deserves to be wife but at the end nimeambulia majuto.

Narudia tena never trust single mother unless Baba Mtoto wake hayupo Duniani.
 
Dogo unaoa mke wa mtu

Akili itakukaa sawa siku akikwambia Baba wa mtoto anataka amuone mtoto hivyo nampeleka mkoani kea babake ntakaa wiki moja

Hapo ndo itajua hujui jamaa linaenda na kupiga mimba nyingine mlezi wa watoto upo
 
Muoe huyo Mligo
 
Aisee😳
 
Sijui kama huyu dogo ataelewa, ngumu sana watu wakiwa kwenye uchumba kusikiliza ushauri na kuufanyia kazi.
 
Nina Mdogo Wangu aliwai Kuoa kaoa mwanamke Mwenye mtoto Kila Mara alikua akiniambia Bro usije ukaoa mwanamke mwenye mtoto na kuna wadogo zangu anawambia hilo mara kwa mara

Anajuta
 
Wazazi bado sijawaambia, sijui kama watanielewa!
Hakuna mzazi atafurahia mwanae aoe single mother. Hata single mother mwenyewe siku mtanie kuwa mwanao atakua single mother (kama wa kike) au mwanao ataoa single mother (kama wa kiume) utaona moto utakavyowaka. Wao wenyewe hawataki, wewe unawataka wa kazi gani? kuna jamaa kasema vyema hapo juu, kuwa huyo single mother hana mchongo tu kwa sasa kwakua ndio katoka chuo. Hivyo anatafuta hifadhi na huduma kwa wakati huu akiweka mambo yake sawa. KIJANA HEBU TAFUTA MKEO UOWE, ACHANA NA HAO VIUMBE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…