Dogo kama unashauriwa na bado unang’ang’ana na mambo ya moyo, basi hatuna cha kukushauri. We muoe mkuu. Kusikia kwa kenge hadi atoke damu masikioniMoyo unamtaka yeye, tatizo lipo hapa 👉🏽 baba wa mtoto na malezi, ndugu, jamaa na majirani!
Acha zako na ww 😹😹🙌🏾Mkubalie haraka mnanimalizia bando kuwafatilia..!! 😹
Inabidi nipate uhakika bhana ni mheshimiwa kweli😹😹Mkubalie haraka mnanimalizia bando kuwafatilia..!! 😹
Kamlee kaka yangu atakufa na baridi 😹Acha zako na ww 😹😹🙌🏾
Kwa baridi lipi iloKamlee kaka yangu atakufa na baridi 😹
Mh kweli huyo shauri yako unatupa fuko la pesa..!! 😹Inabidi nipate uhakika bhana ni mheshimiwa kweli😹😹
Utalia narudia utalia na utakimbia icho kinyumba ulicho jenga😅😅Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo
Ngoja nimalize pasaka kwanza maana sielewi😹Mh kweli huyo shauri yako unatupa fuko la pesa..!! 😹
La dar 😜Kwa baridi lipi ilo
Kama mkinga nakubali 😹😹La dar 😜
Em acha kuringa bas msikize bro..!!
😹😹😹 Mkubali kabla Petro hajamkana Yesu jogoo akawika, utamkosa watamuwahi wengine shauri zako..!!Ngoja nimalize pasaka kwanza maana sielewi😹
😹😹😹 Mkinga huyoKama mkinga nakubali 😹😹
We acha kunijaza nikajaa Wohi🙌🏾 nikawa kama friend wako sishauriki😹😹😹 Mkinga huyo
😹😹😹😹We acha kunijaza nikajaa Wohi🙌🏾 nikawa kama friend wako sishauriki
Kuoa Mwanamke mwenye mtoto ni kujikosesha furaha Maishani mwako.Nina Mdogo Wangu aliwai Kuoa kaoa mwanamke Mwenye mtoto Kila Mara alikua akiniambia Bro usije ukaoa mwanamke mwenye mtoto na kuna wadogo zangu anawambia hilo mara kwa mara
Anajuta