Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

Natafuta Ajira itabidi uanze kutoa somo ukiwa umeshika bakora.

Ona huyu simp, demu kapigwa mimba anakuja kumletea yeye alee.

SHIMBWE jifunze sanaa ya utongozaji upate kitu piru ufungue mwenyewe.
Kaka mm sio mbugilambugila, kuhusu mademu wapo wengi sana,!

Labda tu niseme wanawake wanatofautia,! Ila Nishapita na wengi sana mzee.
 
hakuna ubaya kuoa singo maza kama umempenda.muhimu ni lazima muongee vizuri kuhusu huyo mtoto,malezi yake,uhusiano na baba yake na mkikubaliana basi mambo yataenda sawa tu
 
Kaka mm sio mbugilambugila, kuhusu mademu wapo wengi sana,!

Labda tu niseme wanawake wanatofautia,! Ila Nishapita na wengi sana mzee.
Hapana mkuu, yaani wazo tu la kutaka kuoa singo maza, mwenye mtoto mdogo ambae baba wa mtoto yupo hai na anahudumia mtoto si ajabu na mama mtu.

Miaka hii ya technology pisi izae halafu ikupe kiswahili gani cha kueleweka kua ilikua bahati mbaya na hana mahusiano na baba mtoto, ingelikua miaka ya zamani kidogo kuna excuses za kutosha ila sio sasa tena kwa binti msomi kabisa.

Aloo wewe ni mbugila.
 
Aisee😳
Mwanzo alikua vizuri sana mpaka nikaamua kumweka ndani. Lakini mtoto wake akifanya Kosa ukamwadhibu ni ugomvi, na kauli kama "unafanya kwa sababu siyo mtoto wako" mpaka imefika stage namchukia mtoto wake. Na mawasiliano na Baba mtoto wake yananitia shaka sana. Basi tu naishi na naangalia namna ya kuvunja haya mahusiano.

Na Moja ya Nyuzi zangu niliomba ushauri ndiyo hii Thread 'Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada' Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada
 
Kitu kimojawapo kinachonifanya niwe nae ni wale mademu walikuwa vipanga class,! Special school wale sema ndio hvyo.,akili mingi!
Huo ukipanga wake mbona hakuutumia kumwambia badboy aliemtia mimba avae kondomu?

Achana na uyo mwanamke anakutumia tu nyakati hizi ambazo anahitaji msaada wako. Kwanza mwanzo tu alivyokudanganya kwamba hana mtoto tayari ulitakiwa kushtuka.
 
Unataka Dunia isiwe sehemu salama sasa kama wanaume wote mkiwa na roho mbaya kama yako
 

Utaingia kwenye msala mkubwa sana. Yani unakuwa retirement plan ya mwanamke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…