Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

Goli la jana lilikua exactly kama hili hapa chini.
 
Amjafa kiume . asie fanya kazi na asile uwezi kalisha pua golini kwako afu uje udai goli kizembe
Mbona unaongea ufala mkuu??
Lile goli limedaiwa pasi na Yanga kufanya kazi?
Yanga si kafika golini na Azizi Ki kapiga shuti ndio mpira ukaingia??
Au mpira ulijiingiza wenyewe??
Punguza ufala sio lazima ukoment kila kitu.
 
Ukweli jana nimeshindwa kulala yaani nimelala saa 10 nimeamka saa 12 , yaani moyo unawaka moto.

Nina uchungu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kunywa pepsi ya baridiiiii upooze moyo.
Woiiiiih
 
Wazee kupanga matokeo wamepangiwa wao wanaumia
 
Hapa ni kujitoa officially tu, kuna haja gani sasa ya kuhangaika kooote halafu unakuja kuhujumiwa mwishoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…