Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

Kwa nini mchezo wa Simba na Al-Ahly haujadiliwi? Haukuwa na umuhimu wowote? Ulikuwa wa kukamilisha ratiba tu?

Ninajua kuwa nimekosea kuandika Al-Ahly nikaonegeza i kuwa Al-Ahlyi na siwezi kuifuta
Hauna malalamiko

Afu watu wa Simba hawakuwa na vidomo vidomo vya kudharau hatua ya robo fainali.

Kuna watu walidiriki kuwaita wengine mwakarobo.
 
Umekwishaje? SImba amefungwa tena au safari hii amepata ushindi tulioahidiwa na Ahmed Ally.

Kuhusu mpira wa Yanga, angalia sehemu kubwa ya Africana baadhi ya Mamelodi including Kocha wao) wanasema inawezekana Yanga kanyimwa goli halali ispokuwa Simba ndio haoni hilo
 
Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu.

Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye mashindano ya Africa.

Tunajitoa vipi? Hatujitoi officially tusije fungiwa for A. Tunajitoa kwa staili ya ku boycott. Kila mwaka tukipangiwa mashindano ya Africa tuna cheza chini ya kiwango na kutolewa hatua ya awali. Ila tunaboresha ligi yetu ya ndani.. Tunakuwa kama walivyo kuwaga England miaka ya tisini na elfu2 mwanzoni. Wana ligi bora lakini kimafaifa timu zao haziendi popote...

Tufanye hivyo kwa maslahi mapana ya mashabiki wa mpira wetu wa Tanzania ambao ndio uti wa mgongo wa soka letu..

Tumechoka kuonewa na kunyimwa haki zetu...

Tanzania lazima tuitambue hadhi yetu. Tanzania ndio inayo yapa mashindano haya msisimko. Bila Tanzania mashindano haya waka hayana ladha yoyote. Sisi ni moja kati ya mataifa machache duniani ambayo raia wake ni viachaa wa soka...

Kataa Soka la Africa. Soka la Africa ni usengwile mtupu.
Siyo Suluhisho sahihi. Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kufanya vizuri zaidi na zaidi ili iwe ni aibu kubwa sana kuzionea. sasa hivi watu wengine watadhani kuwa kweli Mamelodi ni zaid ya Yanga, lakini iwapo Yanga itajipambanua kuwa ni timu tishiao basi siku nyingine marefa wataogopa kutoa maamuzi mabovu dhid ya Yanga kwa kuogopa reaction yake.
 
Huu leo ni usheitwani wa wazi kabisa.
Goli linaonekana hata na mtoto mchanga halafu yanatokea mambo ushoga
 
Umekwishaje? SImba amefungwa tena au safari hii amepata ushindi tulioahidiwa na Ahmed Ally.

Kuhusu mpira wa Yanga, angalia sehemu kubwa ya Africana baadhi ya Mamelodi including Kocha wao) wanasema inawezekana Yanga kanyimwa goli halali ispokuwa Simba ndio haoni hilo
Sasa hiyo inasaidia nini katika kufanya Yanga iwe tofauti na Simba kwenye kutupwa katika tournament?

Majibu yako yeyote unayopata kwa kufafijiwa na waliokufunga either kwa kukudhulumu au kihalali hayana influence yeyote ya kukufanya uwe nusu fainali.

Sheikh hiyo ndio imetoka habari za kwamba kocha wao kasema hivi mara wachezaji wao wanasema hivi hiyo ni mind game tu.

Na ndio maana uliwaona wakishangilia baada ya nyie kukosa penalti maana yake ni kitu ambacho walikihitaji wao kuvuka hii hatua
 
Hivi mumeliona vipi goli la Aziz kii. Mpiraumepigwa kutoka uwanjani na ukagonga nguzo ya juu amabayo iko nyuzi 90 na mstari na ikawa ndani ya gori. Hivyo ilikuwa imeshavuka nyuzi 90 na kwa shelia za mhamo (low of movement) ilitakiwa iwe na msukumo kuelekea ndani

Swali ni je

Kipi kiliurudisha mpira ndani ya uwanja?
= goli
= sheria

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Sasa hiyo inasaidia nini katika kufanya Yanga iwe tofauti na Simba kwenye kutupwa katika tournament?

Majibu yako yeyote unayopata kwa kufafijiwa na waliokufunga either kwa kukudhulumu au kihalali hayana influence yeyote ya kukufanya uwe nusu fainali.

Sheikh hiyo ndio imetoka habari za kwamba kocha wao kasema hivi mara wachezaji wao wanasema hivi hiyo ni mind game tu.

Na ndio maana uliwaona wakishangilia baada ya nyie kukosa penalti maana yake ni kitu ambacho walikihitaji wao kuvuka hii hatua
View attachment 2955178
Umefurahi? Andaa mwili kubeba 5G nyingine kwenye NBC; nakuahidi bila huruma.
 
Yanga mmeonewa ingawa naona imetoa sare na Simba, wote mmetoka
 
images.jpeg
 
Africq hakuna goli line technology hiyo saa iliyolia ni ipi?
 
Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu.

Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye mashindano ya Africa.

Tunajitoa vipi? Hatujitoi officially tusije fungiwa for A. Tunajitoa kwa staili ya ku boycott. Kila mwaka tukipangiwa mashindano ya Africa tuna cheza chini ya kiwango na kutolewa hatua ya awali. Ila tunaboresha ligi yetu ya ndani.. Tunakuwa kama walivyo kuwaga England miaka ya tisini na elfu2 mwanzoni. Wana ligi bora lakini kimafaifa timu zao haziendi popote...

Tufanye hivyo kwa maslahi mapana ya mashabiki wa mpira wetu wa Tanzania ambao ndio uti wa mgongo wa soka letu..

Tumechoka kuonewa na kunyimwa haki zetu...

Tanzania lazima tuitambue hadhi yetu. Tanzania ndio inayo yapa mashindano haya msisimko. Bila Tanzania mashindano haya waka hayana ladha yoyote. Sisi ni moja kati ya mataifa machache duniani ambayo raia wake ni viachaa wa soka...

Kataa Soka la Africa. Soka la Africa ni usengwile mtupu.
Umeandika takataka, hawa Yanga mbona wanahonga marefa huku ligi kuu wanashinda kimagumashi
 
Back
Top Bottom