Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Tabora wengi wao wamejikita kwenye ushirikina, yani hawamuogopi Mungu...watu wa ajabu sana hawa. Ndiyo maana wako nyuma sana kimaendeleo.
wako nyuma sana kiasi gani!!!..ukiwalinganisha na nani?una takwimu?
 
Daah umenikumbusha kitambo kidogo. Amani mwehu, malingumu, Asha kulwa. Miaka ya 80 hadi 90 mwanzoni.
Kulikua na mwingine akiitwa Bhanabhane akiishi nje ya duka la mwehu mwingine wa kihindi anaitwa Jeta karibu na stendi hapo mjini sijui kama bado wapo. Tabora kwa wehu ni mwisho..
 
Wale vichaa wa Rombo wanatokana na nini !?
 
Huko Tabora kuna kivutio gani hadi vichaa wa kigoma wakimbilie hapo mkuu!!?[emoji23] [emoji23]
kiasili kuna kitu cha kuongezea hapo . kuna bwana mmoja amefanya utafiti wa kugundua asili ya makabila . amebaini nusu ya watanzania ni wanyamwezi hasa wahehe , wasukuma , wabena , nk anaitwa somebody membe. alikuwa anhojiwa tbc fm , anadai wanyamwezi wanatokea katika nchi ya ivory coast . walipitia congo brazaville na congo drc . kote walipopita waliacha unyamwezi yaani kabila . spiritually madnesss ( wehu) ni maagano ambayo yalikiukwa katika ardhi ,,,, tazama wana wa israel ,, sometimes they are acting chaotic . kisayansi waweza sema tabora nayo bangi yake si mchezo ,,, mwanza road kwa kintosa .
 
Kama hili Lima ukweli naanza kumeelewa Poropesa gwidi LA uchumi duniani Wa kwafu ( Cuf)
 
Hahahahahahaaa si kwa mkwara huo, hadi ameenda ku edit alichoandika mwanzo, mueditie na hapa kwako ulivyo mquote basi maana ameshatubu kwa kufuta alichoandika.

Ila ni kweli, walipo tupo, tena wa watch out.... Aahahahahahahaaaaa
be careful, ulipo tupo
ahahaha hyo kauli hatari alipo wapo kama oksijeni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huu mkwara umekiz vgezo
 
Mbona hata humu Jamii Forum vichaa ni wengi tu au na humu ni Tabora???😁😁😁😁
 
Tbr wavivu sana, wanaigiza vichaa kurahisisha maisha yao
 
Wanyamwezi ni sawa na wasukuma.
Siyo kweli mkuu, sema tabora kuna wasukuma wengi kuliko wanyamwezi! Watu wengi hawajui hili! Wanyamwezi wako sana wilaya za sikonge, urambo, tabora kwa uchache lakn wasukuma wamejaa nzega, igunga, Uyuwi, na kaliua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…