Kwahili la Mabasi kusafiri Usiku, nampongeza Mbunge Tulia Ackson

Ni lazima tukubali kuwa Tanzania imeishafunguka ki nchi na kimataifa. Wananchi lazima wasafiri muda wowote bila kujali usiku au mchana.Uwe usafiri wa anga au Barabara au majini au reli.Usafiri wote uko huru ila Barabara.Vikwazo vinavyokwaza barabarani ni ni kama ifuatavyo:-
1.Ujambazi wa kuteka magari - Tatizo hili ni la duniani kote . Vyombo vya Ulinzi na Usalama ni kazi Yao . Tanzania haiwezi kusalimu amri kwa majambazi
2. Ratiba za magari zitapanuka - Kufukuzana barabarani kutaisha manake hakuna haja kwa nini ukimbize wakati utatembea usiku kucha
3. Mwendo wa 50 km kwa saa iondolewe usogezwe uwe 100 km kwa saa kwa kuwa Barabara zote safi na salama.Mkazo uwe kwenye vivuko tu.
4. Tanroads/Tarura buni utaratibu wa kuweka taa za solar maeneo yote korofi ikiwezekana unganisha mkoa kwa mkoa inawezekana
5. Serikali ibuni utaratibu wa kurasimisha coasters zibebe watu badala ya kubeba watu kwa visingizio km misiba au harusi nk
 
Bonge la summary, shukrani sana Sana! Eti muda huu Tanzania tumelala, huwezi kusafiri Usiku huu kwenda Tanga au hata hapo Moro, ukifika Stand mabasi yamepaki...... utadhani tuna utajiri uliopindukia
 
Mbona unakuwa so pessimistic? Kwa nini ufikiri au uamini ni mabaya tu yatatokea?
Wala sio suala la kuwa pessimistic. Ni kweli anavyosema. Madereva wa bongo hawajitambui kabisa. Kutakuwa na over speeding sana. Wenzetu wa magharibi ni watiifu wa sheria. Kama speed inayotakiwa ni 80km/h watamaintain hiyo, kwa wabongo hapana aisee.
 
Sijawahi na wala sitaki, katika nchi hii kusafiri usiku kama Wachawi ni risky kubwa.
NDIO maana ukachangia hivo, nilikua sahihi kukuuliza Kumbe! Basi kama hujawahi kusafiri Usiku hii thread sio level Yako, soma tu maoni
 
Wala sio suala la kuwa pessimistic. Ni kweli anavyosema. Madereva wa bongo hawajitambui kabisa. Kutakuwa na over speeding sana. Wenzetu wa magharibi ni watiifu wa sheria. Kama speed inayotakiwa ni 80km/h watamaintain hiyo, kwa wabongo hapana aisee.
Sijui hizi akili za kijinga hivi mnazitoaga wapi, hivi hujui kuwa Kuna mabasi baadhi yanasafiri Usiku? Ile Ajali ya basi la Arusha juzi ilitokea usiku???
 
Sijui hizi akili za kijinga hivi mnazitoaga wapi, hivi hujui kuwa Kuna mabasi baadhi yanasafiri Usiku? Ile Ajali ya basi la Arusha juzi ilitokea usiku???
Huna unalolielewa wewe. Nakuona juha tu fulani unaetaka kulazimisha ujuaji. Una mandate gani ya kushangaa akili zangu wewe juha? Tunakueleza kutokana na uzoefu wa huko nyuma halafu wewe unakuja kutukana hapa. Sasa hakuna cha safari za usiku, ukitaka jinyonge.
 
Hahahahahahahaaaaaa ACHA bange
 
Ungewahi kutekwa na kuvuliwa nguo mbele ya mkeo, watoto, wakwe na kupigwa hili wazo usingelipigia chapuo. Labda yawepo mabasi yanayosafiri usiku na ya mchana ili kila abiria ajichagulie muda wake wa safari.
 
Hahahahahahahaaaaaa ACHA bange
Nadhani umejifunza. Na usidhani wewe peke yako ndiye mwenye hati miliki ya kutukana watu. Ukiona hoja imekuelemea au hukubaliani nayo pita kimya. Watu tumeumbwa na mitizamo tofauti, sasa ukilazimisha sote tufikiri kama wewe, unaonekana kituko tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…