Kwako Rais Samia, sisi Askari tunaomba utuongezee maslahi

Unapoeleza jambo epuka kusema kama Fulani sijui nataka kama Fulani nipe kama Fulani


Shenzi type

Hii ni rejea,ili mpokeaji asijekusema haiwezekani.
Na akiacha ionekane wazi kwamba kaamua kugoma.
 
Nyie mapopoma mnatakiwa muishi maisha magumu hivyo hivyo mkipata stahiki zenu mnavimba ndio mtashiriki hadi kwenye uwizi wa kura cha msingi mjue serikali haiwakumbuki na haina mpango na nyie mlikua mnaona raha kukimbiza mabox ya kura haya kikowapi mmesahaulika mnaomba omba kama yatima😂😂😂😂
 
Hii ni rejea,ili mpokeaji asijekusema haiwezekani.
Na akiacha ionekane wazi kwamba kaamua kugoma.
Rejea yanini kwani Hao aliowataja wako wanafanya majukumu yanayofanana???kanuni na taratibu zao zinafanana???

Wao ushawahi Kuja kuona wanaandika kama alivyoandika huyu wa wizara ya mambo ya ndani bado huoni tofauti baina yao???

Kama Fulani kama Fulani hakuna kitu kama Fulani jeshini Raia ndiye anaweza kusema nipe kama fulani sio kauli ya mwanajeshi hii
 
Hongereni kwa hizo allowances

Acha walimu tuendelee kukomaaaa
 

Lengo sio walio juu washushwe.lengo ni kuwa kama wao au kukaribia.
Mletamada alichofanya ni kumkumbusha rais maana inaonekana serikali inafanya juhudi kwa wizara ya mambo ya ndani ila panyabuku ndio wanaihanithi.

Sio jambo jema huonekana ni kama majungu,lakini hii hutokea baada ya maswali kuwa mengi na kila siku kukosa ufumbuzi.
 
Mwanachuo hapewi hela ya kulisha wengine anapewa ya kula mwenyewe, serikali haijakuajiri na watoto, mke na wazazi wako. Mbona hawalipwi mshahara sasa unalipwa wewe tu?

Kama vipi hao magereza wasipewe mishahara wapewe nyumba na wawe wanakula kazini wabaki na hela kidogo ya kujikimu tuone kama watakubali. Mbona walimu hawapewi hela ya kula? Kwa hali ya kiuchumi ya nchi elfu kumi inawatosha, hiyo ni nyongeza tu sio ndio utake kulewa hiyohiyo na kula mishikaki hapohapo
 
Kwanini BIMA wanakata hata kwa wategemezi,kwanini wasiweke bima kwa askari tu?
 
Kwanza Ombi lenyewe limechelewa, maana Bajeti imeshachelewa. Lakini inaonesha ni jinsi gani woga ulivyojaa kwenye jamii yetu ya Kitanzania. Anapokuja IGP ni kwa nini huwa hamumwambia hayo mambo??
IGP hausiki na Magereza.
 
Kwani sasa hivi mshahara wenu ni shilling ngapi?

Maana nikiangalia posho tu hapo kwa wengine huo ndio mshahara wao take home.
 
Maumivu ya kichwa huanza taratibu.....

Tumieni rushwa mnazopokea kuboresha madai yenu
 
MKIACHA KUONEA NA KUBAMBIKIA WATU KESI MTAONGEZEWA

NA MKIACHA KUOMBA HELA YA MAFUTA YA GARI WAKATI SEREKALI INAWAPA MAFUTA BURE NDO MTAONGEZEWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…