Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Kwa msaada wa baadhi ya comment, code zimeshafunguliwaCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Hata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
Honey trap
Rubbish President..Samia hadi 2035
Km akili ndo hizi Lissu atakaa sana jela π€£ππ€£ na hizo fulani za No reforms no election zitakua za mitoko tu kama zilivyo za Crefisa...Kaka mie ndio ugonjwa wangu huu nikikamata wa aina hii nikamkunja vizuri hapo naenjoy vibaya mno
Wamalizane kabisa majangiri haoCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Zeri - mazeriZeri ?
Diblo ?
Sio rahisi, itakuwa zamu ya ChristianSi uliona mpango alijikataa mapemaa.. ilaa kassim atarudi 2030 kugombea urais amini nakwambia
NRNE.....dalili ziko waziAcha wauwane ila wajue tu bila kufanya reforms hakutakuwa na chaguzi
... mbona nawe umekuwa muoga kutoa taarifa kwa uwazi zaidi....!? Pamekuwa pa kutisha namna hii kweli?Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Sasa kuna code gani hapo ?? DuuhDaah Code zako hizi siyo mchezo
Kwa sababu hana taarifa yeyote... mbona nawe umekuwa muoga kutoa taarifa kwa uwazi zaidi....!? Pamekuwa pa kutisha namna hii kweli?
Nimefuta/nimerekebisha. Na wewe futa/rekebisha!Weka Code Mkuu, Uzii unapendeza kukaa na Code
Na juhudi zote zile kuhakikisha ngalawa inatia nanga pwani....! Watamchosha sana.....ukikaa ukaTULIA unaweza kuki AKSI ON
ccm wat wamovie movie na sinema wako vizuri sana kwenye script zao,alisema linaweza cheleweshwa makusudi kasome tena
Si mchezo!Hata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
View attachment 3391295
You are totally disconected na wananchi, wapiga kura.Kazi yangu ni kufurahia maendeleo na mafanikio ya Nchi.
Wewe kama una nongwa zako endelea ,siko hapa Kwa Ajili ya Wanasiasa
Kaa kwa kutulia Mzee Mgaya, tutakufikiria kitengo cha propaganda mitandaoni....Kanisa Moja Takatifu la Mitume