Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

Ebwanaee

Poor Brain

Njoo ujionee tako
Unajua nini kilifanya nikalili hili jina Shimba ya Buyenze
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Yaani mwamba hana baya
Huyu ndie rais wetu jf humu kwa majukwaa pendwa..

Hana baya hata kidogo...
Kila alipo shimba jua kuna vitu vile vya roho kupenda...

Na kingine kumtenganisha shimba na yutong phantom ni sawa na kutenganisha oxygen na hydrogen from the water . Hii ni ngumu mpka ufanye kitu kinaitwa Electrolysis yaan utahitaji umeme wenye voltage kubwa sana mkuuu
 
Huyu anapita kwa huo msambwanda tu πŸ˜„
Sema litariwa kwer kwer

Ova
Umemsaha Mzee wa nahau.
Ukitaka kula lazima na wewe uliwe kidogo.
Hata huyo mwenye topic hii lazima aliliwa kidogo na aliyetuacha ndio kapewa uchiriku.
 
Km akili ndo hizi Lissu atakaa sana jela πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£ na hizo fulani za No reforms no election zitakua za mitoko tu kama zilivyo za Crefisa...
Apumzike tu jela, kwani anatusaidia nini zaidi ya kutaka madaraka. Anaboa na makelele yake hajui tu mwenyewe anajiona shujaa🀣🀣🀣
 
Kwani 'nepi' kuchukua fomu?
 
Fomu inaenda kwa pico pico pico hahaha tulia pico wewe ndiye rais hahaha
 
Mwaka wa uchaguzi huu, wacha tu wauane....unaambiwa Steve Nyerere anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Mama
 
Nasikia Tulia kachukua fomu pekee yake kwenye jimbo lake.Kwa hiyo ndani ya Chama letu hana mpinzani.

 
Natambua mchango wa member mmoja mwenye utimamu ya hali ya juu sana
 
Mzigo kama huu ukitinga mjengoni wana watausasambua na kama pete ipo lazima iwekwe mezani maana kwa wivu wa vidume sidhani kuna kidume kitakubali kuchakachuliwa mbususu anayoimiliki tena yenye msambwanda nyuma yake namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…