Yanga bila Lunyamila haijakamilika, halafu huyo Makambo toa weka Mohamed Hussein "Mmachinga"Simba tu (3-4-3)
1.Juma kaseja
2.Shomary kapombe
3.Pawasa
4.Yondani
5.Wawa
6.Matola
7.Okwi
8.Boban
9.Ema Gabriel
10.Chama
11.Mogela.
Yanga 4-4-2
Mapunda
Nsajigwa
Maftah
Canavaro
Ken mkapa
Fredy Mbuna
Abdi kasimu
Ngasa
Tabwe
Makambo
Said maulid
Nb,sijasoma umeandika vibaya
Mgosi huwezi kumlinganisha na ema Gabriel ama Zamoyoni Mongela.Kumbe Musa Hassan Mgosi alikua wa kawaida eee?
Alafu kumbe Makambo amefanya makubwa Jangwani kumshinda Jerryson Tegete?
Thuwen Ally alicheza miaka ya 70 hukoSwadakta kabisa mkuu.
Yanga
1. Hamis Kinye
2. Yusuph Ismail Bana
3 Ahmed Amasha
4. Shomari
5.Isihaka Hassan
6 Juma Mkambi
7. Omar
8. Mkwassa
9. Homa ya Jiji
10 Abeid
11 Hanzuruni " mchawi'
Simba
1 Mahadhi/ Mambo sasa
2. Kiwhelo Mussa
3 Mohamed Kajole
4.
5 Mohamed Bakar Tall
6 Nicodemus Njohole
7
8 Ngulungu
9 Malota
10. Zamoyoni
11 Thuwen Ally
Kikosi chochote cha Simba cha miaka ya 1985-90s kama hakuna Mohamed Mwameja(TZ one), Hussein Amani Masha, George Magere Masatu na Hamis Thobias "Gagarino"hicho ni feki. Kikosi cha Yanga kwa miaka hiyo, Kenneth Pius Mkapa, Issa Athuman Mgaya, Peter Tino (nguguye Gebo Peter) na Athuman Abdallah China pia hicho ni feki. Kikosi cha SC Villa, Paul Hasule, George Ssemogerere, Majid Musisi pia hicho feki.1.Juma K Juma
2.Amri said
3.Ramadhani Waso
4.Bonifas Pawasa
5. Serg Pascal Wawa
6. Seleman Matola
7.cloutas chota Chama
8 Madaraka Selemani
9 Athuman Machupa
10 Emanuel Okwi
11.Luis Miqussone
Kamalizia 80s wanapoluja akina Zamoyoni Dua nkThuwen Ally alicheza miaka ya 70 huko
Saidi maulidi (SMG)Simba tu (3-4-3)
1.Juma kaseja
2.Shomary kapombe
3.Pawasa
4.Yondani
5.Wawa
6.Matola
7.Okwi
8.Boban
9.Ema Gabriel
10.Chama
11.Mogela.
Yanga 4-4-2
Mapunda
Nsajigwa
Maftah
Canavaro
Ken mkapa
Fredy Mbuna
Abdi kasimu
Ngasa
Tabwe
Makambo
Said maulid
Nb,sijasoma umeandika vibaya
Huna hata unalolijua.Mgosi wa kawaida Sana wazee,ligi daraja la 3 miaka ya 90 walikuwepo wengi kumzidi
Okwi vipi?1.Juma K Juma
2.Amri said
3.Ramadhani Waso
4.Bonifas Pawasa
5. Serg Pascal Wawa
6. Seleman Matola
7.cloutas chota Chama
8 Madaraka Selemani
9 Athuman Machupa
10 Emanuel Okwi
11.Luis Miqussone
Mimi nilikuwa Simba damu. Ndugu yetu alikuwa ni mmoja wa viongozi wa Simba, kwa jina aliitwa Ismail Kaminambeo, kwa sasa ni marehemu.Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, sasa ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF kabla ya kuandika list ya wachezaji bora wa muda wote wa timu za Yanga na Simba, ningependa kwanza nijitambulishe kuwa mimi ni mshabiki mkubwa sana wa timu ya Yanga. Nimeanza kuipenda Yanga toka nilipoanza kupata akili na mpaka leo sijawahi kubadilisha msimamo wangu huo, pamoja na changamoto zote tunazozipitia na tulizozipitia huko nyuma. Nakumbuka miaka ya 90s kila time ilikuwa na tawi lake mtaani. Kwahiyo ilikuwa ni kawaida timu ya Yanga inapoifunga Simba, basi wana Yanga wote tunatoka katika maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es salaam, na kukimbilia Jangwani kuwapokea wachezaji wetu, huku tukiimba nyimbo mbali mbali za kuwasifu wachezaji wetu na timu yetu. Hivyo hivyo kwa upande wa Simba, walipopata ushindi wao dhidi ya Yanga, wana Simba nao walitoka katika maeneo mbali mbali ya jiji na kuelekea Msimbazi kuilaki timu yao. Kwahiyo naweza kusema kwangu mimi hakuna kipindi kilichokuwa kitamu kwa furaha ya michezo kama kipindi hicho. Hapa chini naweka kikosi kazi cha wachezaji wa Yanga ambao walikuwa tishio sana miaka hiyo. 1) Goli kipa- Steven Nemes, huyu hakuna mtu wa miaka hiyo, asiejua kazi kubwa aliyoifanya kwa timu ya Yanga pamoja na timu yetu ya Taifa (jamaa utahisi alikuwa na simaku mikononi kwa jinsi alivyoivuta mipira mikononi mwake). 2) Difenda- Mwanamtwa Kihwelo, huyu kumpita ilikuwa ni kazi ngumu sana kwa vile alikuwa na akili ya kile anachokifanya uwanjani (kwake yeye ilikuwa ni bora mpira upite ila mchezaji abaki, au mchezaji akipita basi mpira utabaki) 3) Keneth Mkapa, mkongwe halisi na moto wa kuotea mbali ambae hajawahi kutoa boko au kuharibu mpira hata siku moja (mkapa hata timu za nje zilikuwa zinamhofia sana, kutokana na umahiri mkubwa wa uchezaji wake). 4) Midfielders- Sanifu Lazaro, ukipenda mwite Mwiba (sifa zake hazina shaka kiuchezaji). 5) Thomas Kipese, winga machachari ya kushoto (ilikuwa ukimpa pasi anatembea na mpira mdogo mdogo, maana wachezaji wa timu pinzani walikuwa wanaogopa kumfuata asiwadhalilishe kwa kanzu au tobo. 6) Salvatory Edward, mzee wa pasi to pasi. 7) Nico Bambaga, kichoteo (yani alikuwa akishika mpira anauchota tu mpaka kwa mfungaji, sasa hapo inabaki kazi ya mfungaji, afunge au atoe nje) 8) Forwards- Salumu Kabunda, tingatinga (jamaa alikuwa kajaa kama mzee wa "GYM" afu misuli iliyokakamaa kiasi kwamba ukipigana nae bambi lazima utoke nje ukapokee matibabu) 9) Shaban Nonda (Mkongo), huyu nae hakuwa nyuma katika kufanya kile kilichompeleka uwanjani. 10) Saidi Mwamba Kizote, mzee wa kunyakuwa (alikuwa na uwezo wa kunyakua mpira juu ya kichwa cha mtu kupitia miguu yake mirefu tena bila kumgusa aliechukuliwa mpira) kwa ufungaji pia alikuwa tishio, George Weah hatosahau siku aliyopigwa tobo na baadae kanzu na mzee huyu wa kiminyio. wengi tulimfananisha na Rivaldo wa Brazil. 11) Edibilly Jonas Lunyamila, huyu hata ukienda Rwanda, Congo, Burundi, Zambia, Kaburu na kwengineko wanamfahamu fika kwa umahiri wake wa kutambaa na mpira hasa pembezoni mwa chaki, (mabeki walikuwa wanasakiziana kumfuata) na yeye alitumia mwanya huo kufanya yake, kwa kufunga magoli mengi. Nikija upande wa Simba naweza kusema wachezaji wao wengi nimewasahau ila kuna baadhi nawakumbuka kama vile 1) Goli kipa- Mohammed Mwameja, Tanzania one (huyu aliisaidia sana Simba na Taifa Stars, mpaka kuna watu walihisi labda jamaa ana mikono mingine pemben ya akiba) 2) Difender- Alphonsi Modest. 3) Husein Marsha. 4) Forwards kuna- Dua Saidi. 5) Madaraka Selemani, "mzee wa kiminyio" , yani alikuwa anatisha kama anaenda mbele afu anauminya mpira, beki anajikuta kapitiliza mzima mzima afu yeye anamua atoe pasi au aendelee na mpira akafunge. Hao ni baadhi ya wachezaji hodari na mahiri wa timu hizo wa muda wote. Ila kama kuna mdau mungine aliekuwa anafatilia timu hizi, na michezo kwa ujumla anaweza akaongeza wengine tuliowasahau kutoka hata timu zingine kongwe za miaka hiyo. Karibuni. Mods ndugu zangu, tafadhalini naomba uzi huu muuache ujitegemee ili kuweka kumbukumbu nzuri.
Binti,nafuatilia mpira tangu 88,nimeona wachezaji wengi,wengi wanaocheza Leo ligi kuu,miaka ya 90 wasingekua ligi kuu(ikiitwa ligi daraja la kwanza) Wala ligi daraja la pili,mgosi nimemuona Sana Simba pale,goli alikua mshambuliaji Bora kuliko mgosi,mgosi kupiga mpaka ajiandae!Huna hata unalolijua.
Yaani chumila hayupo!!?..dua bin said,kimti...1990s wamepita wachezaji mjomba,inasikitisha kuona Simba na yanga leo wanaocheza akina sakho,mugalu,yikpe,molingaMwameja
Kapombe
Twaha hamidu
Costa nampoka
Masatu
Mkude
Mashine abduli
Masha husein
Leny ramadhan
Chama
Kagere
Asante mkuu kwa ukumbusho wako. Dah umenikumbusha mbali sana, mpaka nahisi machozi kunitoka. Constantine Kimanda nilijua nimemuweka kwenye list kumbe nimemsahau, sasa hivi ashakuwa marehemu. Method Mogela nilimtaja kwa comment fulan ya chini.Salum Kabunda Ninja alikuwa beki sio forward, list yako haitakamilika usipowataja Constantine Kimanda na marehemu Method Mogela
Mimi nilitaka kuuliza kama bado yupo hai au ashatangulia mbele ya haki, kwa bahati nzuri umeniwahi kuuliza.Jerryson alikua anabebwa na umaarufu wa mzee tegete.
Hivi mzee tegete bado yupo pale kirumba..?
Mkuu wewe ni kama mimi. Mara ya mwisho kufuatilia mambo ya mpira ilikuwa 2001. Na hii sio kwa club zetu tu, bali hata kwa club za ulaya pia niliachana nazo maana mwaka huo ndio ule uhondo wa mpira wa dunia ulipoishia. Kwa upande wa nje mimi nilikuwa shabiki mkubwa wa Man United, huku Tanzania mimi na familia yetu yote kuanzia wazazi mpaka ndugu wa kuzaliwa tukiwa Yanga.Hizi ni enzi nimeshakata shauri kufuatilua mpira, nilikua shabiki wa Yanga kupitiliza Hadi walipofungwa Kwa penalties Zanzibar usiku. David Mwakalebela alikosa penalty akaipa Simba ushindi.
Bila kujali timu walizichezea, Hawa jamaa walivuma enzi hizo.
Sanifu Lazaro ( Tingisha)
Said Swed hii ilijulikana kama scud
Makumbu Juma
Hamiss Thobias Gagarino
Said Mwamba Kizota
Thomas Kipese (Uncle Tom)
Nimeamini kuwa wewe ni mwana michezo wa kweli, maana sikutegemea kama ungeweza kumfahamu mpaka Edward Chumila hapo chini. Dah kweli enzi zetu tulifaidi sana mkuu.Binti,nafuatilia mpira tangu 88,nimeona wachezaji wengi,wengi wanaocheza Leo ligi kuu,miaka ya 90 wasingekua ligi kuu(ikiitwa ligi daraja la kwanza) Wala ligi daraja la pili,mgosi nimemuona Sana Simba pale,goli alikua mshambuliaji Bora kuliko mgosi,mgosi kupiga mpaka ajiandae!
Wengi hapa wamewasahau Makumbi Juma na Hamis Gagalino "mwamba".Yaani chumila hayupo!!?..dua bin said,kimti...1990s wamepita wachezaji mjomba,inasikitisha kuona Simba na yanga leo wanaocheza akina sakho,mugalu,yikpe,molinga
Hawajasahau Bali ni watoto...timu Kama coastal ilikua na yassin napili ambaye kwa leo angeanza timu yoyote Kati ya Simba na yangaWengi hapa wamewasahau Makumbi Juma na Hamis Gagalino "mwamba".