Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #81
Alitumia teknolojia gani kuonesha mechi ndan ya sifuria mkuu? Hii iliyoletwa na meli? (mabeberu) au ile ya kwetu wenyewe waafrika? (ndumba)Sawa kabisa ila jamaa walijitajodi kuchez a sana..BADO NATHAM8MI MCHANGO WA MAJEMBE YALE.
Ila haya mambo ya ndumba haya siku moja kulikuwa na me hi ya simba na Yanga ilifanyika Dodoma,
Mi sikwenda uwanjani lwasababu watoto wa mtaani tuliitwa kwa Mzee mmoja Kibamba huyu mzee aliuchezesha mpira kwenye jisufuria! yaani ile mechi ilichezeshwa kwenye msufuria mkubwaaa sijawahi ona mahala pengine.
Wachezaji uwanjani mnawaona kwenye JISUFURIA .
Umenichekesha sana mkuu 😂😂🤣🤣