Kwangu mimi hawa ndio wachezaji bora wa muda wote kwa timu za Yanga na Simba na Taifa Stars miaka ya 90s, wewe je?

Kwangu mimi hawa ndio wachezaji bora wa muda wote kwa timu za Yanga na Simba na Taifa Stars miaka ya 90s, wewe je?

Binti,nafuatilia mpira tangu 88,nimeona wachezaji wengi,wengi wanaocheza Leo ligi kuu,miaka ya 90 wasingekua ligi kuu(ikiitwa ligi daraja la kwanza) Wala ligi daraja la pili,mgosi nimemuona Sana Simba pale,goli alikua mshambuliaji Bora kuliko mgosi,mgosi kupiga mpaka ajiandae!
Mmmmmmh
 
DEO Mkuki badala ya Iddy Mkuki,Zicco wa Kilosa yuko wapi? Sure boy yuko wapi?Leodiger Chula Tenga je?
Yah ni kweli mkuu. Jina lake ni Deo Mkuki sio Iddi Mkuki. Nafikiri mkuu hapo juu alikosea kidogo jina. Na hawa wengine kina Tenga huwenda amewasahau. Shukran mkuu kwa ukumbusho wako.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwaka gani hiyo mkuu, hebu nikumbushe kidogo. Nahisi hilo game nimelisahau hahahahaa.
Hiyo hapo
Screenshot_20220604-092035.jpg
 
Watu wa Zamani walikuwa wanajua kutoa nickname bwana si wa Sasa yani nickname inakutisha kwanza kabla hata hujamuona mchezaji

Scud
Fuso
Mwamba wa kizota
Scania
Sure boy
Smg
 
Watu wa Zamani walikuwa wanajua kutoa nickname bwana si wa Sasa yani nickname inakutisha kwanza kabla hata hujamuona mchezaji

Scud
Fuso
Mwamba wa kizota
Scania
Sure boy
Smg
SMG enzi hizo alikuwa SMG kweli. Maana akikamata mpira hizo mbio zake mshale wenyewe una ngoja. Siku hizi wachezaji hawana mbio na bukta zao za chini ya makalio.
 
Mohamed mwameja.
Raphael Paul.
Kenny mkapa.
Deo Njohole.
Method Mogela.
Issa Athumani.
Edward chumila.
Hamisi Gaga.
Saidi mwamba.
Athuman China.
Zamoyoni Mogela.
 
Mohamed mwameja.
Raphael Paul.
Kenny mkapa.
Deo Njohole.
Method Mogela.
Issa Athumani.
Edward chumila.
Hamisi Gaga.
Saidi mwamba.
Athuman China.
Zamoyoni Mogela.
Hii ilikuwa ni kati ya list bora kabisa ya Taifa Stars enzi hizo.
 
Mojamed Mwameja
Malota SOMA
Deo Njohole
Idd Pazi
Hamis aka Bwalya
Mtwa Kheelo
Musa Kihwelo
Jamhuri Kihwelo
Lillah Shomari
Zamoyoni Mogela
Raphael Paul ( RP)
George Massatu ( mtu na nusu)
Hussein Masha
Edward Chumila
Mchunga Bakari
Method Mogela
Deo njohole
Victor Mkanwa

Hata miaka sikumbuki nishakuwa mhenga
 
Mojamed Mwameja
Malota SOMA
Deo Njohole
Idd Pazi
Hamis aka Bwalya
Mtwa Kheelo
Musa Kihwelo
Jamhuri Kihwelo
Lillah Shomari
Zamoyoni Mogela
Raphael Paul ( RP)
George Massatu ( mtu na nusu)
Hussein Masha
Edward Chumila
Mchunga Bakari
Method Mogela
Deo njohole
Victor Mkanwa

Hata miaka sikumbuki nishakuwa mhenga
Shukran mkuu, kwa kweli list yako imenifanya nikumbuke mbali sana.

Enzi hizo ndio tulienjoy mpira, sio siku hizi mambo ya mipira yamegeuka mipasho
 
TAIFA STARS.

1. Juma Pondamali.

2. Leopold "Taso" Mukebezi.

3. Mohamed Kajole " Machela".

4. Leodgar Tenga " Msomi."

5.Jellah Mtagwa.

6. Mohammed Rishard "Adolf".

7. Omari Hussein.

8. Hussein Ngulungu.

9. Peter Tino

10. Mohammed Salim.

11. Thuwein Ally.

Team Capt: Leodgar Tenga.

Ass Team Capt: Mohamed Rishard.

Head Coach: Slowmir Work.

Ass Head Coach: Joel Bendera.

Chairman FAT: Said Hamad El-Maamry

Waziri wa Michezo: Chediel Mgonja
 
Kassim Manara
Kitwana Manara
Sunday Manara
Aberdeen Mziba
Erick Sagala
Mtemi ramadhani
Ahmad Kimolo ( RIP)alichezea simba akitokea CDA ya Dodoma
Israel Aden Rage pia alichezea Simba akitokea CDA ya Dodoma
Ally Kimolo( Hakudumu kwenye mpira.
Madarka Seleman
Paul Kimti
Mohamed Kahabuka
SEMBULI KICKER
 
SIMBA

1. Athuman Mambosasa
2. Daudi Salum " bruce lee "
3. Mohamed Kajole " machela "
4. Filbert Rubibira.
5. Mohammed Bakari " tall "
6. Ezekiel Greyson " jujuman "
7. George Kulagwa.
8. Abdalah Mwinyimkuu
9.Adam Sabu
10. Jumanne Hassan " masimento "
11. Thuwein Ally
 
Shukran mkuu, kwa kweli list yako imenifanya nikumbuke mbali sana.

Enzi hizo ndio tulienjoy mpira, sio siku hizi mambo ya mipira yamegeuka mipasho
Hakika mkuu. Mi sinta sahau siku SIMBA ilipocheza na STELLAR ABIDJAN.
Nakum uja nilikuwa Darasa la 7 kikosi kilikamilika tulipo fungwa lile bao nilizimia mkuu hadi kulazwa
 
Hakika mkuu. Mi sinta sahau siku SIMBA ilipocheza na STELLAR ABIDJAN.
Nakum uja nilikuwa Darasa la 7 kikosi kilikamilika tulipo fungwa lile bao nilizimia mkuu hadi kulazwa

..George Masatu anasema timu ilifungwa kutokana na uchovu.

..Wachezaji walikuwa hawapumziki kambini kwasababu ya kutembelewa na Waganga kwa mfululizo walioletwa kuroga / kuwatengeneza wachezaji.
 
..George Masatu anasema timu ilifungwa kutokana na uchovu.

..Wachezaji walikuwa hawapumziki kambini kwasababu ya kutembelewa na Waganga kwa mfululizo walioletwa kuroga / kuwatengeneza wachezaji.
Sawa kabisa ila jamaa walijitajodi kuchez a sana..BADO NATHAM8MI MCHANGO WA MAJEMBE YALE.
Ila haya mambo ya ndumba haya siku moja kulikuwa na me hi ya simba na Yanga ilifanyika Dodoma,
Mi sikwenda uwanjani lwasababu watoto wa mtaani tuliitwa kwa Mzee mmoja Kibamba huyu mzee aliuchezesha mpira kwenye jisufuria! yaani ile mechi ilichezeshwa kwenye msufuria mkubwaaa sijawahi ona mahala pengine.
Wachezaji uwanjani mnawaona kwenye JISUFURIA .
 
Kassim Manara
Kitwana Manara
Sunday Manara
Aberdeen Mziba
Erick Sagala
Mtemi ramadhani
Ahmad Kimolo ( RIP)alichezea simba akitokea CDA ya Dodoma
Israel Aden Rage pia alichezea Simba akitokea CDA ya Dodoma
Ally Kimolo( Hakudumu kwenye mpira.
Madarka Seleman
Paul Kimti
Mohamed Kahabuka
SEMBULI KICKER
Baadhi ya majina kama vile umekosea mkuu 👇
Aberdeen Mziba - Abeid Mziba
Israel Aden Rage - Ismail Aden Rage .

Ila shukran kwa list nzuri yenye ukumbusho wa hali ya juu.
 
TAIFA STARS.

1. Juma Pondamali.

2. Leopold "Taso" Mukebezi.

3. Mohamed Kajole " Machela".

4. Leodgar Tenga " Msomi."

5.Jellah Mtagwa.

6. Mohammed Rishard "Adolf".

7. Omari Hussein.

8. Hussein Ngulungu.

9. Peter Tino

10. Mohammed Salim.

11. Thuwein Ally.

Team Capt: Leodgar Tenga.

Ass Team Capt: Mohamed Rishard.

Head Coach: Slowmir Work.

Ass Head Coach: Joel Bendera.

Chairman FAT: Said Hamad El-Maamry

Waziri wa Michezo: Chediel Mgonja
Shukran mkuu kwa list hii. Umenikumbusha mbali sana.
 
Hakika mkuu. Mi sinta sahau siku SIMBA ilipocheza na STELLAR ABIDJAN.
Nakum uja nilikuwa Darasa la 7 kikosi kilikamilika tulipo fungwa lile bao nilizimia mkuu hadi kulazwa
Aisee mkuu miaka hiyo team zetu zilikuwa na back up kubwa sana kutoka kwetu.
Ndio maana kila zilipocheza mechi zilitaka kutuhakikishia ushindi, japo sometimes haikuwa rahisi kupata ushindi.
 
Back
Top Bottom