Kwangu mimi hawa ndio wachezaji bora wa muda wote kwa timu za Yanga na Simba na Taifa Stars miaka ya 90s, wewe je?

Hawajasahau Bali ni watoto...timu Kama coastal ilikua na yassin napili ambaye kwa leo angeanza timu yoyote Kati ya Simba na yanga
Hakika mkuu, da shukran sana kwa kumbukumbu hii muhimu. Kuna wachezaji baada ya kuwataja umenifanya nikumbuke mbali sana aisee.
 
Mpira ni mikakati mkuu. Sisi pamoja na kuwa na wachezaji wazuri, lkn hatukuwa na mikakati ndo maana hatukufika mbali.
 

Tupo pamoja sana. Mpira naufurahia kuangalia nikutakie watu wanaangalia lakini Sina ushabiki wa timu yeyote ndani na nje ya nchi
 
Makumbi Juma
 
Tupo pamoja sana. Mpira naufurahia kuangalia nikutakie watu wanaangalia lakini Sina ushabiki wa timu yeyote ndani na nje ya nchi
Yah ni kweli mkuu, kwa sasa mpira hauna mvuto kama miaka ile.
 
Bila Mohamed Hussein,Boniface Ambani,Mrisho Ngasa, Haruna Niyonzima ,Nadir Haroub na Simon Msuva bado akidi haijatimia
 
DEO Mkuki badala ya Iddy Mkuki,Zicco wa Kilosa yuko wapi? Sure boy yuko wapi?Leodiger Chula Tenga je?
 
Tia na Salum Mayanja kwa Villa SC.
 
Victor Mkanwa,Juma Mgunda,Selestine Sikinde Mbunga,Fumo Felician,Nteze John Rungu na Mkama Ntare nao walikuwa balaa
 
YANGA .. forward SALUM KABUNDA?AU NIMESOMA VIBAYA
 
Kumbe ulishaulizwa na ukajibu[emoji120][emoji120][emoji120]nilitaka kushangaa KABUNDA NI STRIKER[emoji1787]
 
Bila Mohamed Hussein,Boniface Ambani,Mrisho Ngasa, Haruna Niyonzima ,Nadir Haroub na Simon Msuva bado akidi haijatimia
Mkuu hebu nikumbushe, hawa kina Haruna Niyonzima na Simon Msuva ni wa mwaka gani. Maana mimi mara yang ya mwisho kufuatilia mambo ya mpira ilikuwa ni miaka ya 2000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…