MmmmmmhBinti,nafuatilia mpira tangu 88,nimeona wachezaji wengi,wengi wanaocheza Leo ligi kuu,miaka ya 90 wasingekua ligi kuu(ikiitwa ligi daraja la kwanza) Wala ligi daraja la pili,mgosi nimemuona Sana Simba pale,goli alikua mshambuliaji Bora kuliko mgosi,mgosi kupiga mpaka ajiandae!
Yah ni kweli mkuu. Jina lake ni Deo Mkuki sio Iddi Mkuki. Nafikiri mkuu hapo juu alikosea kidogo jina. Na hawa wengine kina Tenga huwenda amewasahau. Shukran mkuu kwa ukumbusho wako.DEO Mkuki badala ya Iddy Mkuki,Zicco wa Kilosa yuko wapi? Sure boy yuko wapi?Leodiger Chula Tenga je?
Kuna watu humu si mchezo.Mmmmmmh
Hiyo hapo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwaka gani hiyo mkuu, hebu nikumbushe kidogo. Nahisi hilo game nimelisahau hahahahaa.
Ya kweli mkuu, nashukuru kwa ukumbusho wako. Hao vijana walitepeta kweli kweli mbele ya Simba.
SMG enzi hizo alikuwa SMG kweli. Maana akikamata mpira hizo mbio zake mshale wenyewe una ngoja. Siku hizi wachezaji hawana mbio na bukta zao za chini ya makalio.Watu wa Zamani walikuwa wanajua kutoa nickname bwana si wa Sasa yani nickname inakutisha kwanza kabla hata hujamuona mchezaji
Scud
Fuso
Mwamba wa kizota
Scania
Sure boy
Smg
Hii ilikuwa ni kati ya list bora kabisa ya Taifa Stars enzi hizo.Mohamed mwameja.
Raphael Paul.
Kenny mkapa.
Deo Njohole.
Method Mogela.
Issa Athumani.
Edward chumila.
Hamisi Gaga.
Saidi mwamba.
Athuman China.
Zamoyoni Mogela.
Shukran mkuu, kwa kweli list yako imenifanya nikumbuke mbali sana.Mojamed Mwameja
Malota SOMA
Deo Njohole
Idd Pazi
Hamis aka Bwalya
Mtwa Kheelo
Musa Kihwelo
Jamhuri Kihwelo
Lillah Shomari
Zamoyoni Mogela
Raphael Paul ( RP)
George Massatu ( mtu na nusu)
Hussein Masha
Edward Chumila
Mchunga Bakari
Method Mogela
Deo njohole
Victor Mkanwa
Hata miaka sikumbuki nishakuwa mhenga
Hakika mkuu. Mi sinta sahau siku SIMBA ilipocheza na STELLAR ABIDJAN.Shukran mkuu, kwa kweli list yako imenifanya nikumbuke mbali sana.
Enzi hizo ndio tulienjoy mpira, sio siku hizi mambo ya mipira yamegeuka mipasho
Hakika mkuu. Mi sinta sahau siku SIMBA ilipocheza na STELLAR ABIDJAN.
Nakum uja nilikuwa Darasa la 7 kikosi kilikamilika tulipo fungwa lile bao nilizimia mkuu hadi kulazwa
Sawa kabisa ila jamaa walijitajodi kuchez a sana..BADO NATHAM8MI MCHANGO WA MAJEMBE YALE...George Masatu anasema timu ilifungwa kutokana na uchovu.
..Wachezaji walikuwa hawapumziki kambini kwasababu ya kutembelewa na Waganga kwa mfululizo walioletwa kuroga / kuwatengeneza wachezaji.
Baadhi ya majina kama vile umekosea mkuu 👇Kassim Manara
Kitwana Manara
Sunday Manara
Aberdeen Mziba
Erick Sagala
Mtemi ramadhani
Ahmad Kimolo ( RIP)alichezea simba akitokea CDA ya Dodoma
Israel Aden Rage pia alichezea Simba akitokea CDA ya Dodoma
Ally Kimolo( Hakudumu kwenye mpira.
Madarka Seleman
Paul Kimti
Mohamed Kahabuka
SEMBULI KICKER
Shukran mkuu kwa list hii. Umenikumbusha mbali sana.TAIFA STARS.
1. Juma Pondamali.
2. Leopold "Taso" Mukebezi.
3. Mohamed Kajole " Machela".
4. Leodgar Tenga " Msomi."
5.Jellah Mtagwa.
6. Mohammed Rishard "Adolf".
7. Omari Hussein.
8. Hussein Ngulungu.
9. Peter Tino
10. Mohammed Salim.
11. Thuwein Ally.
Team Capt: Leodgar Tenga.
Ass Team Capt: Mohamed Rishard.
Head Coach: Slowmir Work.
Ass Head Coach: Joel Bendera.
Chairman FAT: Said Hamad El-Maamry
Waziri wa Michezo: Chediel Mgonja
Aisee mkuu miaka hiyo team zetu zilikuwa na back up kubwa sana kutoka kwetu.Hakika mkuu. Mi sinta sahau siku SIMBA ilipocheza na STELLAR ABIDJAN.
Nakum uja nilikuwa Darasa la 7 kikosi kilikamilika tulipo fungwa lile bao nilizimia mkuu hadi kulazwa