Barikiwa mnoKiapo cha kuishi pamoja kama wamoja mpaka kifo kinafanyiwa usanii, fikiria unakubali kisanii kuishi na mwenza wako mtavuna nini hapo? Mume ni nani na mke ni nani hii elimu ni muhimu sana, utii, upendo, heshima, unyenyekevu, uelewa, ustahimilivu, hofu ya Mungu na matendo mema.
Brother unayo madini sana,nimejifunza hapa chakula ya ubongo.My love...Kwa ruhusa yko naomba nichangie kidogo
Ndoa yenye afya ni Ile yenye utulivu na upendo,na ukiacha mambo yote utulivu ndio kila kitu.
Sasa mwanamke mtiifu kwa mumewe huleta Sana utulivu na upendo katika ndoa
Na
Utiifu uonekane katika namna unavyoongea na mumeo, utiifu katika kutekeleza maagizo yake, na utiifu hata katika kutoa ushauri pia.
Hakikisha unatimiza majukumu yako kama mke pale nyumbani kwako, mume anapenda kufanyiwa mambo mbali mbali na mkewe, mfano kupikiwa chakula,usafi WA nguo zake. Hata Kama mke nae anaenda kazini basi walau siku moja moja apatapo nafasi aingie jikoni na mume atajisikia burudani kabisa.
Mwanamke siku zote ainamishe bawa lake Chini, ajishushe hata kama ana mashahara mkubwa kuliko mumewe au cheo, atambue pale nyumbani atabakia kuwa mke Tu,na akifanikiwa katika Hilo atauteka Sana moyo WA mumewe .
Aepuke haya yafuatayo:
Kumpandishia mwanaume sauti juu katika mikwaruzo, yaani akifanya hivyo ujue amechokoza nyuki
Asionyeshe dharau yoyote Ile kwa mumewe
Na hata kama kuna jambo ambalo halipendi kwa mumewe basi amfikishie ujumbe katika namna ambayo haita vunja hadhi na utu WA mwanaume.
Shukrani.
Ndoa ikiwa changa anapendeza akishapata mtoto tu anaaanza mara kavaa shati yako , mara akiwa anafua kavaa dekio yaan haeleweki
I agree. A woman is supposed to stay at home and raise the man's children. A man is supposed to provide for the family. Women shouldnt get married to men who can not provide.Ukiona hivyo ujue mwanamune hayuko tayari kwa ndoa, usiolewe. Mwanamke si mtafutaji, kwani kwenye kutafuta atapata na visivyotafutwa. Mwanamke ana jukumu zito la malezi ya familia, sio kuzurura hovyo mitaani eti ujasiriamali. Huo ndio mwanzo wa kifo cha ndoa
Nimeyaona dear Hapo pa ku just stay not to this era kipenzi walau Nawewe ukiwa na kakitu kidoooogo mambo yanakua mukide . Kujishughujulisha kunaifanya hata akili inakua bize sometimes!Antonnia embu soma madini haya...japo ni kimombo ila ni maneno yaliyotoka kwenye mdomo wa mzazi wako❤
FACT!!I agree. A woman is supposed to stay at home and raise the man's children. A man is supposed to provide for the family. Women shouldnt get married to men who can not provide.