Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

Kiapo cha kuishi pamoja kama wamoja mpaka kifo kinafanyiwa usanii, fikiria unakubali kisanii kuishi na mwenza wako mtavuna nini hapo? Mume ni nani na mke ni nani hii elimu ni muhimu sana, utii, upendo, heshima, unyenyekevu, uelewa, ustahimilivu, hofu ya Mungu na matendo mema.
Barikiwa mno
 
My love...Kwa ruhusa yko naomba nichangie kidogo

Ndoa yenye afya ni Ile yenye utulivu na upendo,na ukiacha mambo yote utulivu ndio kila kitu.

Sasa mwanamke mtiifu kwa mumewe huleta Sana utulivu na upendo katika ndoa

Na

Utiifu uonekane katika namna unavyoongea na mumeo, utiifu katika kutekeleza maagizo yake, na utiifu hata katika kutoa ushauri pia.

Hakikisha unatimiza majukumu yako kama mke pale nyumbani kwako, mume anapenda kufanyiwa mambo mbali mbali na mkewe, mfano kupikiwa chakula,usafi WA nguo zake. Hata Kama mke nae anaenda kazini basi walau siku moja moja apatapo nafasi aingie jikoni na mume atajisikia burudani kabisa.

Mwanamke siku zote ainamishe bawa lake Chini, ajishushe hata kama ana mashahara mkubwa kuliko mumewe au cheo, atambue pale nyumbani atabakia kuwa mke Tu,na akifanikiwa katika Hilo atauteka Sana moyo WA mumewe .

Aepuke haya yafuatayo:

Kumpandishia mwanaume sauti juu katika mikwaruzo, yaani akifanya hivyo ujue amechokoza nyuki

Asionyeshe dharau yoyote Ile kwa mumewe

Na hata kama kuna jambo ambalo halipendi kwa mumewe basi amfikishie ujumbe katika namna ambayo haita vunja hadhi na utu WA mwanaume.

Shukrani.
Brother unayo madini sana,nimejifunza hapa chakula ya ubongo.
 
Jibu ni kuwa mwanamke mmoja hatoshi. Hata uwe mzuri kjasi gani hata ufanye nini, ni lazima tuwe na mchepuko nje

Mwaka mzima unaingiza hapohapo tu, Hilo kwa mwanaume haliwezekani na tukikujua lazima tukuwekee vikao
 
Sawa mkuu
 
For my side mwanamke awe ana wivu na mimi tena wivu kweli halafu awe msumbufu yani siku zingine aninyime utamu yani ndo napendaa na nitampendaaa as long as ananipenda na kuniheshimu aiiiii siwezi kumuacha
 
Ukiona hivyo ujue mwanamune hayuko tayari kwa ndoa, usiolewe. Mwanamke si mtafutaji, kwani kwenye kutafuta atapata na visivyotafutwa. Mwanamke ana jukumu zito la malezi ya familia, sio kuzurura hovyo mitaani eti ujasiriamali. Huo ndio mwanzo wa kifo cha ndoa
I agree. A woman is supposed to stay at home and raise the man's children. A man is supposed to provide for the family. Women shouldnt get married to men who can not provide.
 
I agree. A woman is supposed to stay at home and raise the man's children. A man is supposed to provide for the family. Women shouldnt get married to men who can not provide.
Antonnia embu soma madini haya...japo ni kimombo ila ni maneno yaliyotoka kwenye mdomo wa mzazi wako❤
 
For my side mwanamke awe ana wivu na mimi tena wivu kweli halafu awe msumbufu yani siku zingine aninyime utamu yani ndo napendaa na nitampendaaa as long as ananipenda na kuniheshimu aiiiii siwezi kumuacha
Wee,sema kweli😳
 
Antonnia embu soma madini haya...japo ni kimombo ila ni maneno yaliyotoka kwenye mdomo wa mzazi wako❤
Nimeyaona dear Hapo pa ku just stay not to this era kipenzi walau Nawewe ukiwa na kakitu kidoooogo mambo yanakua mukide . Kujishughujulisha kunaifanya hata akili inakua bize sometimes!
Pia financially uwezo unatofautiana muhimu heshima utulivu na upendo .
 
Back
Top Bottom