Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

Tena kitambi wkti wa vita ndio kizuri,maana mwili una reserve calories za kutosha.. hata ikitokea mko mafichoni, mwenzako ata-survive wiki mbili zaidi bila chakula
***** umefanya nmecheka kama fala
 
Mitambi ni uvonjwa unaotokanana uzembe. Hakuna mchezaji mpira akawa na kitambi hapa duniani.

Ukiona mtu anafuga mtumbo jua mgonjwa huyo. Huwezi fuga mtumbo ukawa na na body fitness. Hakuaaa!

Angalia wanajeshi wa Drc na mitumbotumbo yao ndio sababu wanapigwa na kakundi ka wahuni m23 ambao hakuna mwenye tumbo miongoni mwao.

Kitambi ni ugonjwa
Kitambi ni fedheha
Kitambi ni janga
 
Sijajifananisha mkuu...nimetoa tu uzoefu na angalizo la kuto kukariri...
 
Tumbo la taifa😀

Haya "bana".

Lakini wataalam wa afya wanasemaje? Unajua kuwa kitambi ni utapiamlo?

Ni sahihi askari wetu kuwa ugonjwa uitwao "kitambi"?
Sio sahihi na sikubaliani nao kabisa, na si Wajeda tu, hata Polisi,Trafik na Mgambo wapo wenye vitambi lakini tunaweza kuwafanya nini na wenyewe wamehiyari kuwa hivyo!? Labda hujui kwamba, kwa watu wengine "Kitambi" ni heshima na kinatunzwa kwa gharama kubwa!
 
Mtu akisema "Una tumbo sana" anamaanisha "Una tamaa mbaya" kwahiyo yoyote umuonae na kitambi jua tamaa yake haina kifani.
 
Ni sawa kwa watu binafsi kufuga vitambi kama wanataka, lakini si watu wa vyombo vya dola.

Kitambi ni ugonjwa. Ikiwa watapata shida kutokana na ugonjwa wa kitambi, ni kodi zetu ndizo zitakazotumika kuwahudumia.
 
Ni sawa kwa watu binafsi kufuga vitambi kama wanataka, lakini si watu wa vyombo vya dola.

Kitambi ni ugonjwa. Ikiwa watapata shida kutokana na ugonjwa wa kitambi, ni kodi zetu ndizo zitakazotumika kuwahudumi
Aliekwambia kitambi ugonjwa nani!?
Inavyoonekana una chuki binafsi na kitambi.
 
vitambi wanapata wa2 waliopitia msoto udogoni,so wakija kukutana na pesa mingi wanakula blaa!!
 
Aliekwambia kitambi ugonjwa nani!?
Inavyoonekana una chuki binafsi na kitambi.
Nimechekaje🤣🤣🤣

Kwa kule kijijini kwetu, hasa miaka ya nyuma, kitambi kilikuwa kinahusishwa na utajiri. Ilikuwa ni kawaida kwa baadhi ya watu kufanya jitihada za ziada ili nao waingie kwenye hilo kundi la wenye vitambi.

Lakini baada ya kwenda shule, Mwalimu alinifundisha kuwa kitambi ni utapiamlo. Kama unataka kulaumu, mlaumu Mwalimu wangu wa Sekondari.
 
Walimu wameacha lini kulalamikia nyongeza ya mishahara!?kila wanavyopendelewa na Serikali wanaona haitoshi,Yote hayo ni kwasababu miongoni mwao wengi hawana "VITAMBI" vya pesa!
 
Wenye utapiamlo ni wale wenye vitambi vya Pombe,(Pombe za kienyeji)
 
Wanakula vizuri na wameridhika na maisha hamna kingine,. sisi raia tuna tamaa sana, wivu, majungu na unafki ndio maana hatunenepi kwa roho mbaya.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Niko Dar mara nyingi hua nakutana na wanajeahi wenye vitambi

Sasa najiuliza kweli wataweza kupambana pale itakapobidi.

Duniani huko moja ya red flag jeshini ni kitambi na kimo kifupi.

Technically kitambi kinaweza kua obstacle kwenye uwanja wa mapambano japo hatuombei vita ila inabidi wajiandae kimwili na kiakili
 
Tumehama kupigana kwa bunduki na field battles.

Nimwendo wa Wartech .Nakupiga nikiwa Kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…