Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

Eneo naloishi nipo karibu na kambi ya Jeshi. Kwahiyo mida ya Jioni huwa raia tunaopenda boli tunajumuika nao kwenye kiwanja chao kusakata kabumbu.

Aisee, kitambi kisikupumbaze. Kuna wajomba wana mimba mpaka za miezi 8, lakini wakisimama mkoba au middle utafurahi. Stamina na wepesi walionao wanawazidi hadi vijana.

Hata kukiwa na mechi, hao wajomba wakianza ushindi ni uhakika lakini ngoja waingie sub vijana (ambao wanaonekana kwa nje wapo fit). Ni hovyo kabisa!

Kwahiyo nadhani labda uwaseme wale walioelemewa na miili yao, lakini toa hilo wazo kabisa kuwa mwenye kitambi ni mzembe.
Mitambi ni uvonjwa unaotokanana uzembe. Hakuna mchezaji mpira akawa na kitambi hapa duniani.

Ukiona mtu anafuga mtumbo jua mgonjwa huyo. Huwezi fuga mtumbo ukawa na na body fitness. Hakuaaa!

Angalia wanajeshi wa Drc na mitumbotumbo yao ndio sababu wanapigwa na kakundi ka wahuni m23 ambao hakuna mwenye tumbo miongoni mwao.

Kitambi ni ugonjwa
Kitambi ni fedheha
Kitambi ni janga
 
Bro usijifananishe na huyu mzee marshal artist wa miaka 72 Sammo hung Kam-bo ama jina mashuhuri Dai Goh Dai .

Kwa umri umekwenda sana ndio maana mtambi umeota sana tofauti na alivyokuwa kijana wa 20 mpaka 45. Kwa Sasa amebaki kuwa mtayarishaji na mwandaaji wa sinema za mapigano. Mzee Sammo huwa ni mtu mwenye mwili mkubwa ila kitambi kimekolea kutokana na uzee.(72yrs)

Kutokana a umri na kitambi kuongezeka sana hawezi kufanya yale akifanya wakati ule hivi Sasa katika uhalisia wake. Ni sawa sawa leo umwambie drogba ama ronardino acheze soka. Utakachoweza kuona ni skills tu ila sio energy na strength ya kuperform action.

Pamoja na hayo nakubaliana na wewe japo kwa asilimia fulani kwamba sio kila aliye na kitambi hayuko physically fit na sio kila asie na kitambi yuko physically fit.

Kwa mazingira ya kibongo labda ni asilimia 0.1 wenye vitambi ndio wanaweza kuwa physically fit. 99.9% ya waswahili wenye mavitambi ni majanga tu.

Kijana below 50 unakuwaje physically fit wakati hufanyi mazoezi na unakula kama jini, hakuna unachoweza stamili kuacha kipite mbele yako?

Kwa wale wenye vitambi above 50yrs hatuwezi walaumu sana Kwa vitambi maana huo ni umri wa kuanzi kukata tamaa.

Jitetee uwezavyo ila kitambi Kwa kijana wa kiume ni fedheha. Kwa raia tunawza kufumba macho ila kwa walinzi hapana!
Sijajifananisha mkuu...nimetoa tu uzoefu na angalizo la kuto kukariri...
 
Tumbo la taifa😀

Haya "bana".

Lakini wataalam wa afya wanasemaje? Unajua kuwa kitambi ni utapiamlo?

Ni sahihi askari wetu kuwa ugonjwa uitwao "kitambi"?
Sio sahihi na sikubaliani nao kabisa, na si Wajeda tu, hata Polisi,Trafik na Mgambo wapo wenye vitambi lakini tunaweza kuwafanya nini na wenyewe wamehiyari kuwa hivyo!? Labda hujui kwamba, kwa watu wengine "Kitambi" ni heshima na kinatunzwa kwa gharama kubwa!
 
Mtu akisema "Una tumbo sana" anamaanisha "Una tamaa mbaya" kwahiyo yoyote umuonae na kitambi jua tamaa yake haina kifani.
 
Sio sahihi na sikubaliani nao kabisa, na si Wajeda tu, hata Polisi,Trafik na Mgambo wapo wenye vitambi lakini tunaweza kuwafanya nini na wenyewe wamehiyari kuwa hivyo!? Labda hujui kwamba, kwa watu wengine "Kitambi" ni heshima na kinatunzwa kwa gharama kubwa!
Ni sawa kwa watu binafsi kufuga vitambi kama wanataka, lakini si watu wa vyombo vya dola.

Kitambi ni ugonjwa. Ikiwa watapata shida kutokana na ugonjwa wa kitambi, ni kodi zetu ndizo zitakazotumika kuwahudumia.
 
Ni sawa kwa watu binafsi kufuga vitambi kama wanataka, lakini si watu wa vyombo vya dola.

Kitambi ni ugonjwa. Ikiwa watapata shida kutokana na ugonjwa wa kitambi, ni kodi zetu ndizo zitakazotumika kuwahudumi
Aliekwambia kitambi ugonjwa nani!?
Inavyoonekana una chuki binafsi na kitambi.
 
Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto!

Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi'

Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa?

Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona wenzao wa China, North Korea , na Rwanda hawana vitambi?

Wanajua kuwa wao ni mfano wa askari wa chini? Kwa kuwa wanasema "like the son, like the father", watajisikiaje siku moja wakigundua kuwa askari wote wanaowaongoza nao wan vitambi kama wao?

Hivi kukitokea dharura itakayowalazimu kukimbia kwa masaa matatu mfululizo si wanaweza wakahisi ulimi unataka kutoka?

Kwa nini "wanajeshi" wetu, japo siyo wote, wana vitambi?
vitambi wanapata wa2 waliopitia msoto udogoni,so wakija kukutana na pesa mingi wanakula blaa!!
 
Aliekwambia kitambi ugonjwa nani!?
Inavyoonekana una chuki binafsi na kitambi.
Nimechekaje🤣🤣🤣

Kwa kule kijijini kwetu, hasa miaka ya nyuma, kitambi kilikuwa kinahusishwa na utajiri. Ilikuwa ni kawaida kwa baadhi ya watu kufanya jitihada za ziada ili nao waingie kwenye hilo kundi la wenye vitambi.

Lakini baada ya kwenda shule, Mwalimu alinifundisha kuwa kitambi ni utapiamlo. Kama unataka kulaumu, mlaumu Mwalimu wangu wa Sekondari.
 
Nimechekaje🤣🤣🤣

Kwa kule kijijini kwetu, hasa miaka ya nyuma, kitambi kilikuwa kinafmhusishwa na utajiri. Ilikuwa ni kawaida kwa baadhi ya watu kufanya jitihada za ziada ili nao waingie kwenye hilo kundi la wenye vitambi.

Lakini baada ya kwenda shule, Mwalimu alinifundisha kuwa kitambi ni utapiamlo. Kama unataka kulaumu, mlaumu Mwalimu wangu wa Sekondari.
Walimu wameacha lini kulalamikia nyongeza ya mishahara!?kila wanavyopendelewa na Serikali wanaona haitoshi,Yote hayo ni kwasababu miongoni mwao wengi hawana "VITAMBI" vya pesa!
 
Nimechekaje🤣🤣🤣

Kwa kule kijijini kwetu, hasa miaka ya nyuma, kitambi kilikuwa kinafmhusishwa na utajiri. Ilikuwa ni kawaida kwa baadhi ya watu kufanya jitihada za ziada ili nao waingie kwenye hilo kundi la wenye vitambi.

Lakini baada ya kwenda shule, Mwalimu alinifundisha kuwa kitambi ni utapiamlo. Kama unataka kulaumu, mlaumu Mwalimu wangu wa Sekondari.
Wenye utapiamlo ni wale wenye vitambi vya Pombe,(Pombe za kienyeji)
 
Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto!

Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi'

Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa?

Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona wenzao wa China, North Korea , na Rwanda hawana vitambi?

Wanajua kuwa wao ni mfano wa askari wa chini? Kwa kuwa wanasema "like the son, like the father", watajisikiaje siku moja wakigundua kuwa askari wote wanaowaongoza nao wan vitambi kama wao?

Hivi kukitokea dharura itakayowalazimu kukimbia kwa masaa matatu mfululizo si wanaweza wakahisi ulimi unataka kutoka?

Kwa nini "wanajeshi" wetu, japo siyo wote, wana vitambi?
Wanakula vizuri na wameridhika na maisha hamna kingine,. sisi raia tuna tamaa sana, wivu, majungu na unafki ndio maana hatunenepi kwa roho mbaya.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Niko Dar mara nyingi hua nakutana na wanajeahi wenye vitambi

Sasa najiuliza kweli wataweza kupambana pale itakapobidi.

Duniani huko moja ya red flag jeshini ni kitambi na kimo kifupi.

Technically kitambi kinaweza kua obstacle kwenye uwanja wa mapambano japo hatuombei vita ila inabidi wajiandae kimwili na kiakili
 
Tumehama kupigana kwa bunduki na field battles.

Nimwendo wa Wartech .Nakupiga nikiwa Kwangu.
 
Back
Top Bottom