Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

Well said dear
 
Umenena vema sana! Zote hizo ni point zinazoleta ukakasi kuoa single mother.
 
wanashindwa kuelewa mtu anaweza kuwa alizaa na mwanaume wake wa 9 sasa sijui hao wa kwanza nao atakuwa anatoka nao ama vipi? na pia kama umetoa mimba 5 una wazazi wenzio 5 sirini mwako hapo sijui inakuwajeeee!
Unajua mtu anapoingia kwenye mahusiano na mtu mwingine huwa tuna assume kuwa hakuwa na mtu japo utamkuta sio bikira na faraja huja pale kama humjui jamaa aliyekuwa akitoka naye na hivyo imani yako ya kuwa hakuwa na mtu inakuwa na nguvu. Pia pengine huwa tuna assume kuwa walishaaachana na yule aliyekuwa naye awali na hivyo atakuwa ameshamsahau completely lakini pale anapokuwa ana mtoto huyo mtoto huwa kama reference ya kuwa lazima amkumbuke tu huyo jamaa yake na hivyo taswira ya jamaa inabaki kichwani mwake siku zote. Kwa mantiki hiyo hata jamaa akija kutokea hatumii nguvu nyingi kumshawishi maana taswira ipo kichwani mda mwingi na sisi wanaume tulivyo wachokozi jamaa anaweza kuja kwa gia ya kumuangalia mwanae kumbe anatafuta kukumbushia hivyo lazima wivu na kutoamini kama wameshaachana iwepo tu.
 
Ila kwa case ya kifo cha mwenza hilo halina pingamizi. Tatizo la wanaume wengi huwa tuna wivu sana na huwa tunaamini kwamba kwa yule aliyezaa naye ni rahisi sana kukumbushia mechi. Pia jamaa aliyezaa naye anaweza kuwa anakuja kwako kwa kigezo cha kumsalimia mwanae hakuna kero kama kujua kuwa huyu naye alikuwa anatembea na mke wangu na sijui na akampiga chini maana yake Mi nakula kombo la yule(sisemi kwamba nataka kuoa bikra la hasha ila ninachomaanisha sitaki kujua nani alitembea na mke wangu) hapa maumivu na wivu huanzia. Ila na wanaume wanaotelekeza wabinti baada ya kuwapa ujauzito sio fair Mungu anawaona.
 
Hiki ndo wengi huwa wanahofia na ukweli wengi huwa hawaachani completely. Pole sana mkuu
 
Hongera sana mkuu na huyo mkeo ni kati ya wanawake wachache wanaojielewa na kujua thamani yao kama walezi wa familia
 
pole sana,Ila hili lingetokea hata kwa girlfriend tu asiye na mtoto!
 
good hata mie nakuunga mkono[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
hawajui maisha hawa...
wanaropoka tu wakati kuna siku wataitwa mababa haya maneno yatawarudia....
 
Kuwa single mother sio kosa ila inakuwa kosa pale unapokuwa single mother na ukaolewa na mtu mwingine na bado ukawa na mahusiano na yule aliyekusababishia u single mother. Na wala huu Uzi usichukuliwe kuwa ni kwa ajili ya kuwaponda single mother la hasha!
Kila jambo na wakati wake hili nalo kwa yeyote aliye single mother alichukulie kama hoja ya kisiasa kwa maana kuwa linapita tu hii stage itapita na pengine atafurahia maisha ya kimahusiano zaidi ya ambao hawakupitia stage hii. Poleni kama kuna waliowasababishia kwa makusudi hali hii. Japo inasikitisha na kuumiza kuona aliyekusababishia matatizo anakujadili na kukuchambua japo sio wote walisababisha. Wa/Tuvumilieni . Lakini wa/turuhusuni vijana kwa wakubwa wajadili wabadilishane uzoefu na wajifunze changamoto zilizopo ili hata wanapoamua kuingia kwenye majukumu hayo wawe angalau na hints. Binafsi sipendi nije kuwa single father lakini ikitokea nitakubaliana na hali .
 
Habari zenu wadau,

Leo nimejitokeza kidogo kwa Mara ya kwanza nilikuwa na swali ambalo ningependa ku share nanyi na nipate maoni yenu.

Eti ni kwanini wazazi hawapendi mtoto wao (wakiume) waoe mwanamke aliyekwisha kuwa na mtoto (single mother)
[emoji121]
WEKA PICHA FASTA HAPA MKUU.
 
Hii stori inahitaji muvie
 
[emoji17]
 

Attachments

  • 1473712304845.png
    256.9 KB · Views: 39
Hivi hujui kuwa single mom analiwa kirahisi mno na mwanaume aliyemzalisha awali.

Jaribu kuoa single mom ujute.

Hapo bwana wake wa awali atakapokuwa anakuja kumsalimia mwanawena kulala kwenye nyumba yako uwe na kifua cha kuhimili.
Hakuna kitu kama hicho
 

mwanamke anayeweza kumkubalia mwanaume aliyezaa naye kisa anaangalia mtoto huyo hata ukimuoa bikra bado ni mwepesi kushawishiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…