Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

Apo bado unampenda?
 
Habar za wakati huu wakuu,

Leo nimeonelea niandike kidogo haiba za hawa wanawake ambao wana watoto na kuishi kwa kujiongeza yaani single mothers.kumekuwepo na mijadala na hoja mbalimbali kuhusiana na single mothers,ni kweli hawa wanawake baadhi yao huwa ni matatizo ya wanaume waliozaa nao kwamba zile tamaa ndogo ndogo huamua kupit Kushoto na kumuacha mwenza solemba akipigania familia yeye mwenyewe na kuendesha maisha mpaka pale ambapo hupata mwenza mwingine na kuanza naye maisha mapya.

Lakini kwanini single mothers karibia wote huwa hawaishi na wanaume zao?

Ndugu zangu 70% ya single mothers wana MATATIZO sana,sio kidogo yaani saaana.ndio maana kuna muda huwa naenda mbali zaidi kwa kuwaza kwamba anayeamua kuishi ama kuoa hawa wanawake ana matatizo naye sio bure fuatilia sana utagundua ni mwanaume aliyepatwa na vimikasa fulani katika mapenzi aidha alifiwa na mke wake au naye wametalikiana au stress nyingine kibaaoh,Japokuwa siongei haya kama kudhihaki NO ndio uhalisia wenyewe.

Nimesema kuwa hawa wanawake wanashida kwasababu wengi wao wanamatatizo yafuatayo,
1.jeuri
2.tabia za ajabu
3.viburi
4.uchafu
5.kukatisha tamaa
6.umbeya
KUMBUKA:sio wote wana tabia hizo,lakini yeyote umjuaye ana tabia moja kati ya hizo.Hawa wanawake wengi hawadumu katika ndoa kwasababu hizo hapo juu ba zingine nyingi tuu.Single mothers wengi akiolewa hujifanya kumjali mtoto wake saaana kuliko hata mume aliyemuoa kama ni ndoa yake ta kwanza.Na hapo ndipo shida huanzia,wanaume mara nyingi hupenda kusifiwa,ukimsifia hiyo ndoa itadumu tu trust me.Hivi hata kama unampenda mtoto wako ndio ushindwe hata kuigiza upendo kwa mumeo mpya?, yaani unakuta mtu yuko bize na kumjali mtoto kuliko mme wake na mwisho wa siku ndoa inavunjika.Wengi wakiolewa akikuta huyo mme mpya ana mali tayari wao huwa hawazithamini kabisa,huchukulia kama ni mzigo wa mwanaume pekee na michakato mizima kumuachia mwanaume,yeye atakuwa bize na kumfanya huyo mwanaume kama chanzo cha kipato chake na kuwajali zaidi watoto wake kuliko hata wa huyo mwanaume na mwishi wa siku akigundua mambo huwa yanaenda kombo.

USHAURI:dada zetu ambao mulizalishwa mkaachwa,ukipata bahati ya kuolewa anza maisha mapya,usiishi maisha ya majuto na maigizo,msingi wa kwanza ili ndoa yako idumu mpende mme wako na onesha kumjali mfanyie mambo yote yanayostahili kwake na kwa familia yenu kama mke wake,sawa hukosei kumjali mwanao ila kumbuka usifanye mpaka mwanaume akajua basi hutadumu.
 
Ww bado mdogo halaf unataka kujifanya unajua mambo ya wakubwa
 
Any qn so far


You are right ila pia kuna wale single mothers walioachika na waume zao baada ya jamaa kugundua mkewe huyo amezaa na mtu mwingine. Baada ya muda unakuta litoto linaanza kuwa kibaka kumbe mama yake alichepuka na jambazi kwa ajili ya tamaa ya kuwa na hela. Hivyo ni rahisi sana kukuta a single mother ana hasira akifikiria future ya mtoto aliyezaa na jambazi ama muuza sembe. Matatizo mengi karibia ya 99.9% wanawake wanajitakia wenyewe kwani hawana uvumilivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…