dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
.... exactly! Na sio tu kutengeneza uhaba kwa wengine bali pia unaitumia kwa faida binafsi opportunity ambayo wengine hawana.Hewa hatulipishwi kwasababu hakuna hatari ya kupungua na kusababisha wengine wakose.
Ardhi ni tofauti kidogo, ukichukua sehemu ya ardhi umeshawazuia wengine wasiitumie na hivyo kutengeneza uhaba wa kiasi fulani.