.... exactly! Na sio tu kutengeneza uhaba kwa wengine bali pia unaitumia kwa faida binafsi opportunity ambayo wengine hawana.Hewa hatulipishwi kwasababu hakuna hatari ya kupungua na kusababisha wengine wakose.
Ardhi ni tofauti kidogo, ukichukua sehemu ya ardhi umeshawazuia wengine wasiitumie na hivyo kutengeneza uhaba wa kiasi fulani.
Labda wanataka tuwe tunaishi hewanihewani kama ndegeNaomba kueleweshwa! Vinginevyo naomba serikali ifute hii TOZO ya ARDHI ya ardhi mara moja!r
Ardhi Haipaswi kabisa kutozwa kodi TUMEPEWA BURE ! WACHA TUISHI NAYO BURE!
... iko hivi bro, wewe kuishi hapo unapoishi no matter ni Goba au wapi umesha-occupy nafasi ambayo wengine wangetamani kuipata ila wewe umeshai-hold. Lipa kodi.Bado hujanishawishi,kwa mfano mimi niko na nyumba maeneo karibu na Goba na siingizi hata shilingi 100 je hapo watanipa excuse ya kutolipa kodi?
Kodi unayolipa ni "kamchango kadooogo" cha kusaidia operation expenses za kudhibiti matumizi ya ardhi.Kwa hiyo kodi ikikusanywa ndio itasaidia ardhi kuongezeka na kupewa hao waliokosa ardhi?
Swali la mwisho nakuuliza usiponielewa hapo basi tena.... iko hivi bro, wewe kuishi hapo unapoishi no matter ni Goba au wapi umesha-occupy nafasi ambayo wengine wangetamani kuipata ila wewe umeshai-hold. Lipa kodi.
Kwa nini wadhibiti matumizi ya ardhi wakati iliumbwa ili tuitumie kwa kujinafasi?Maana dunia ndio hii hii moja hatuna dunia nyingine ya kwendaKodi unayolipa ni "kamchango kadooogo" cha kusaidia operation expenses za kudhibiti matumizi ya ardhi.
... swali lako kimsingi ni hoja pana inayojitegemea. Nakushauri ukajifunze ni "kwanini tunalipa kodi" kuondoa knowledge gap.Swali la mwisho nakuuliza usiponielewa hapo basi tena.
Je nikishalipia kodi itamsaidia vipi huyo ambaye amekosa ardhi?Je itamfanya na yeye apate ardhi kwa kutumia hiyo kodi?
Nikikupiga maswali kuhusu hii mada utaniletea theories mlizosoma CBE au IFM but in real sense not implemented.... swali lako kimsingi ni hoja pana inayojitegemea. Nakushauri ukajifunze ni "kwanini tunalipa kodi"?
pamewaiwa tafuta pengineKumbe ardhi ni bure kisa kaumba Mungu mbona mimi sina Basi ngoja nikajikatie kipande changu pale posta na mimi niwe naye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pamewaiwa tafuta pengine
Sasa ndugu kama huelewi ni kwanini tunalipa kodi utaelewa hii mada kweli? Umekomalia tuishi kwa nafasi tuishi kwa nafasi. Hiyo kuishi kwa nafasi hapo unapoishi ndio faida yenyewe unayopaswa kuchangia nchi yako through kodi kwa faida ya wengi.Nikikupiga maswali kuhusu hii mada utaniletea theories mlizosoma CBE au IFM but in real sense not implemented.
... na aliyepawahi anatengeneza faida iwe directly au indirectly. Achangie nchi kwa kulipa kodi.pamewaiwa tafuta pengine
Ulaya ndio matumizi ya kodi huonekana ndugu.Sasa ndugu kama huelewi ni kwanini tunalipa kodi utaelewa hii mada kweli? Umekomalia tuishi kwa nafasi tuishi kwa nafasi. Hiyo kuishi kwa nafasi hapo unapoishi ndio faida yenyewe unayopaswa kuchangia nchi yako through kodi kwa faida ya wengi.
Hili nalo nenooo[emoji3]Hewa hatulipii,maji pia hatulipii bali tunacholipia pale ni huduma ya kusafishiwa na kusogezewa karibu.
Nenda kachote maji ya mtoni au kisimani kama kuna mtu atakudai pesa
Wote tukijichomeka huko Serikalini tutatengeneza kundi kubwa la wajanja litakalo sambaratishwa na vita kali ya kimaslahi.Na hapo ujanja ni wewe kujichomeka Serikalini
Mimi nafikiri watu wengi wameshindwa kukuelewa logic yako nini wanakurupuka kujibu,kuna wengine wamekariri notsi za darasani.Watu sijui kama wanaelewa haki ya lazima na wajibu wa lazima!
Kuna vitu ukizaliwa tu tayali unahaki ya kuvitumia bure ikiwemo ardhi na hewa!
Mengine ya kuumba ni wajibu ambayo tunalipishwa kodi kwayo!
Ardhi ni bure, kwann niilipie kodi?
unalipia huduma,Usisahau:
Maji tunalipia pia
Hwwa tunayovuta tunalipia