Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

Kwahiyo wewe ni nani hapa Tanzania unatamba na I'd fake na kujiona mjanja
 
Mwanadiplomasia/balozi anayeiwakilisha nchi/Rais ndiye msuka mipango ya kuleta wawekezaji wa mabilioni kutoka ughaibuni na kiungo mzuri wa uhusiano kimataifa ndiyo umfananishe na paka gani?Kua wewe!Still a kid!
Mabalozi wengi wanakuja kufa masikini tu bhana acheni kutisha watu aisee..
 
Umeshaanza kuonesha dalili zako za kuwashwa puru ili umng'ang'anie mwanaume akupige miti kama kawaida yako auntie!
Ukitaka kuolewa nenda kwa Mwamposa akuombee.. hadi sasa unaingia umri wa kuwa mshangazi hujapata mme... acha kunishobokea... mimi sitafuti mke...
 
Hiyo ofisi ina nini cha maana mkuu? Angeenda mtu amevaa sare ya ccm angeonekana hajavaa sawa?

Sijaua protokali zinasemaje kuhusu kuvaa mavazi yanayohusiana na chama flani kuingia nayo kwenye ofisi za umma ,ila nachojua taasisi nyingi za umma wameweka matangazo ya mavazi yanayotakiwa kuingia nayo.

Mimi nakumbuka enzi nimeajiriwa ,boss alisema marufuku kuvaa mashati ya brand za bidhaa zozote zaidi ya Tshirt za kampuni....kwahiyo ili kuepusha double standard inatakiwa wasiruhusu sehemu za umma kuvalia minguo ya CHAMA.
 
Hapo ubalozini hakuna hilo katazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…