Kwanini madhehebu mengi na yanapingana ikiwa quran ni moja?Dhehebu hili la Wahabi ni tofauti na mengine.
Itikadi zao kuhusu ulimwengu na juu ya umma mkubwa wa waIslamu wenye mchaganyiko kimataifa, zina ubaguzi wa aina fulani badala ya umoja unaotakiwa.
Naona wengine wamekuja kunishambulia na kuacha kujibu hoja japo wachache wamejitahidi kuandika kiungwana.Ndugu umewashika pabaya wafuga midevu!!Watakuparula sana we subiri watokee!!
Je lililoulizwa kwenye mada hii sio jambo halisi? Wapi hapa uislamu umekashifiwa?Kuna watu hawana kazi za kufanya kutwa kufatilia maisha ya watu na kuupiga vita uislamu.
Mada za kuupiga vita uislamu nowadays zimekua nyingi sana, mara waarabu wabaguliwe, wakashifiwe, wazushiwe uongo n.k
Je lililoulizwa kwenye mada hii sio jambo halisi? Wapi hapa uislamu umekashifiwa?
Hawaamini lakini wanapeleka mahujaji wao sasa sijui ndio wanalazimishwa na hao USA na Israel?Iran na Yemen hawaamini hivyo.
Ingia mtandaoni ujiridhishe, ni jambo halisia mkuu.
weekiazi hangaika ilaukweli weekama siomuislam tayari umeshajikatia tiketiyako yamotoni endeleakuandika upupuwako ilimjifurahishe namakafiri wenzakoNaona wengine wamekuja kunishambulia na kuacha kujibu hoja japo wachache wamejitahidi kuandika kiungwana.
Wanasema quran ni moja lakini tunaona madhehebu mbalimbali yana quran zao.
jifarijinitu lakinikama wewesio muislam nduguyangu motounakuhusu jiandae kwahilo kabisa labda ujisalimishe uwemuislam chagua kusuka au kunyoaTaka taka!!!!!
Naomba nieleweshe mkuu Shia wao wanamuamini mtume yupi?Shia HAWAMWAMINI MTUME MUHAMMAD REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE, wamemkhalifu na kwenda kinyume na ujumbe aliokuja nao!!
wanatafuta upenyo iliwaoneshe kuwa diniyetu yauislamu nidini yamchongo kama dinizao zautapeli uzuliukweli wanaujua wenyewe ndiomana wanatapatapa chakuwashauri nikwamba watoke gizani wajekwenye nuru waepuke dinizinazo zalishamanabii uchwara kilasiku viazihawaDohhh hii ni hasara kubwa yani marekani na israel ndio walioanzisha hija? nikupe tu taarifa iyo miji pamoja na watu kwenda hija ilikuwepo kabla ayo mataifa mawili ayajaanzishwa na cha kuongezea kwenye uislamu hakuna toleo jipya la kitabu chetu
hahahahaha huyokristo nibinadamu kamamimi nawewe atakuajenausalama wangu? mwenyeusama wangu nimungu ambae ndiye alieumba kilakitu akiwemo huyokristo wenumakafiri mnaemwabudu badilika achakutegemea uzimakutoka kwabinadamu mwenzako kamawewe sawaee?Uzima wa milele ni ndani ya Kristo Yesu, hakuna usalama sehemu nyingine yoyote.
Kwa uwelewa wangu.Si hapa mnasema iran ni washia na sio waislam?
Kuna watu hawana kazi za kufanya kutwa kufatilia maisha ya watu na kuupiga vita uislamu.
Mada za kuupiga vita uislamu nowadays zimekua nyingi sana, mara waarabu wabaguliwe, wakashifiwe, wazushiwe uongo n.k
Yesu Kristo ni Mungu aliyehai, ameumba vyote hata huyo Allah wenu.hahahahaha huyokristo nibinadamu kamamimi nawewe atakuajenausalama wangu? mwenyeusama wangu nimungu ambae ndiye alieumba kilakitu akiwemo huyokristo wenumakafiri mnaemwabudu badilika achakutegemea uzimakutoka kwabinadamu mwenzako kamawewe sawaee?
Kwahiyo kumbe washia ni waislam, sasa kwanini wanataka kulipua Mecca na Medina?Kwa uwelewa wangu.
Ukikiri moyoni na kutamka kwa ulimi kwamba
1. Hakuna apaswae kuabudiwa kwa HAKI isipokuwa ALLAH na
2. HAKIKA MUHAMMAD ni mjumbe wa ALLAH
Hapo tayari umeshakuwa Muislamu. Sasa sijui Kama hao mashia hawavitimizi hivi.
Shia ni Cult; shia ilianza kama VUGUVUGU la kisiasa WAKATI wa Khalifa wa nne ALIY BIN ABITWALIB Allah Amridhie, baadaye wakaanzisha THEOLOGIA yao na yote ni kutokana na kukengeuka!! Unajua ni kwa nini SHIA hujipiga mijelede, kujiumiza siku ya maadhimisho ya ASHURA? ambayo ni 10th muharram!!!Naomba nieleweshe mkuu Shia wao wanamuamini mtume yupi?