Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Huyo ni mbwa tu kwa roho yake mbovu katakufa mapema hako kajinga.
 
Huu ni uthibitisho mkubwa sana kuwa Kwa sasa ccm imepoteza dira na muelekeo. Kwamba kwa sasa wanapambana wao kwa wao na si kwa ajili ya Tanzania.
Wake up opposition. Wake up Tanzanians!
 
Niliona pale maharage alikwamakwama kwenye hotuba alipofika awamu ya tano ilichofanya akapigwa kimemo haikupita muda karuka kasifia mama kaaga kaondoka.
 
Acha mbambamba, ukitaka kuingia kwenye vitabu vya historia kwa sasa hapa TZ pigania katiba na ifanikiwe hayo mengine ni mbambamba zisizo na umuhimu kwa gen ijayo.
 
Leta education backgruound ya Rais wako hapa, na mimi nitakuonyesha level za elimu za hao waliompigia makofi JPM.

Tunaongozwa na "hoyahoya" kitambo tu.
Jiwe kila kitu kwake kilikuwa na utata kuanzia Elimu mpaka uraia wake. Watu kama wewe ndiyo watakuwa walipiga makofi
 
Kwanini linapokuwa suala ovu kunakuwa hakuna collective responsibility?,ila mambo mema hiyo tensi ndio inakubalika,acheni upumbavu huu wa maelezo marefu for nothing
 
Rubbish again
 
Kwanini linapokuwa suala ovu kunakuwa hakuna collective responsibility?,ila mambo mema hiyo tensi ndio inakubalika,acheni upumbavu huu wa maelezo marefu for nothing
Suala ovu gani halina collective responsibility?

Halina collective responsibility kivipi?

Unaelewa mfumo mzima wa social contract na mantiki ya kupiga kura ni nini?
 
Kuanzia Tuzo, Et anapewa JK, anapewa Mwinyi, walifanya nn? Sibora mngechomekea na JN mwanzilishi wa wazo?

Et wanashindwa kutaja Awamu ya JPM, badala yake wanamuingizia kwenye awamu kiujumla jumla!

Mkamba JR, una utoto na uswahili , wewe hufai hata kua Balozi wa nyumba kumi.

Huwezi Kumtenganisha JPM na JNHEPP , huwezi na ni mjinga pekeake tu ndo anaweza kumtenganisha, tena ni mjinga, asokua na haya, na mnafiki, mwenye kiburi anayejiambia 'Hamna wakunigusa'.

NEC walichokuonyesha, hakijakufunza?

Watanzania wanajua, nani ni nani kwao, hizi porojo zako, ni kutojielewa na kuendelea kunishushia Heshima ndogo ulobakiwa.

Wewe sindo ulikua kimbelembele kupiga vita Huu mradi Kwa JPM? Sasa yule yule ulokua unampiga vita, unajifanya kujisahaulisha ?

Makamba Jr. acha Utoto!
 
Hivi una habari ?, JPM alishakufa siku nyingi!!!
 
Rubbish again
Hujaeleza rubbish wapi, kivipi, kwa nini.

Wewe ndiye umeandika rubbish, tena umejionesha mjinga, tena si mjinga tu, mjinga mvivu ambaye hata siwezi kumkosoa kwa kina.

Kwa sababu hata hajajenga hoja za kukosolewa.

Kaandika kivivu tu.

Rubbish again.

Inaonekana una hasira kuliko ulivyo na logic.

Hukatazwi kuwa na hasira.

Lakini, jaribu kuifanya logic yako iongoze hasira yako. Logic iwe zaidi ya hasira.

Si hasira iwe zaidi ya logic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…