Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

Kwa Saudia pamoja na kuwa ni nchi ya kiislamu umesema wameathirika na tamaduni zao za utawala wa kifalme(that means wameenda kinyume na Sheria za kiislamu), hivyo wanakosea.
rudia kusoma vizuri kuendelea kuwa na utawala wa kifalme sio kwenda kinyume na uislam kwa sababu haukatazi hilo
 
Huyo anajichanganya
Hapo kwenye nguzo 5 umeona kuna kuua? Kuiba? Kuzini? Je hivyo vinaruhusiwa kwenye uislamu?

Hiyo mjinga anajua kila kilichokatazwa kwenye uislamu kinatakiwa kiwe nguzo
Kwanini nyie wasukuma mnakua hivi lakini
 
Hakuna makatazo ya Mungu yenye ukakasi,ukiona kuna ukakasi tu basi ujue hayo ni makatazo yenye mkono wa mwanadamu kwa maslahi yake binafsi.
Kwahyo ukakasi wa mwanamke kuongoza wanaume ni utashi wa binadamu?

Mungu anakataza zinaa na watu wanafanya pia ni mkono wa binadamu?
Mungu amekataza ulevi na watu wanalewa basi pia ni mkono wa binadamu?
 
nimeuliza swali,au huoni alama za ulizo?
Uislamu sio ukristo,hakuna nguzo katika nguzo za uislamu inasema mwanamke hatakiwi kuongoza

Nguzo za uislamu umeshatajiwa na ziko 5

Kama nyinyi mlimruhusu diamond plutnumz kufanya video kwenye nyumba yenu ya ibada ni nyie MSICHANGANYE MAMBO
 
Tuyatoe wapi majibu ndg yangu wakati Makatazo yanaanzia huko huko kwenu uisilamuni...!
Nyie wasukuma hamuwezi kukosa majibu

Yule boss wenu alisemaga yeye anajua kila kitu 😄😄😄 au mmesahau tuwakumbushe??
 
Wewe ulitaka tufanye nini? Na kwanini tuwe njia panda? Kwani unadhani Kwa madhara ya kuwa na kiongozi mwanamke yakitokea yatawakumba waislamu peke Yao?
Au unataka kuniambia dini yako inafundisha nini juu ya kuwafanya wanawake kuwa viongozi?
Si mumshauri akae pembeni. Au 2025 asigombee

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Dini inayobadilikabadilika ni dini yenu nyie wakristo na sio uislamu

Nyie mngebaki kuchunga ng'ombe tu
 
Si kweli mkuu, Zipo nchi nyingi duniani ambazo waisilamu ni majority na zimekuwa na Viongozi wanawake, Pakitani, Bangladesh, Indonesia etc.

Kifupi mkuu Nchi za waisilamu zina Viongozi wengi wanawake kuliko ambazo sio za kiisilamu.

Na Mwanamke Anaweza kuwa kiongozi mfano Umar (R. A) Khalifa wa pili wa uisilamu alimteua mwanamke kuwa kiongozi wa Soko.

Role ambazo mwanamke amekatazwa kwenye Uisilamu ni
1. Jaji mkuu
2. Kiongozi wa Majeshi.

Hekima hapo mwanamke ana Emotion na Huruma sana pia ni Physical weak hivyo ngumu kuhandle hizo role kwa Haki.
 
Soma dini yako mkuu,unazungumza vitu pumba Sana na havina ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…