Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Picha ya MPOFU iko wapi
 
Ukiona Mke/mwanamke wako ameanzisha mahusiano ya kingono na mwanaume mwingine tena akawa kinganganizi, Chonde Chonde kimbia ufe, achana naye....
Usije kusema hukujua!
Ni hatari kwa afya ya moyo na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…