Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

Ni kwasababu Mandela aliyeingia jela alikua ndie mume wa Winnie na alifia huko.Mandela aliyetoka hakua yule aliyeingia bali ni clone hivyo ni Winnie ndiye aliyemkataa sio yeye kukataliwa

NB
Inasemekana
Kuna Mzulu mmoja tulijenga nae barabara Tinde na kampuni ya Afrika kusini Grinaker LTA.....alinieleza jambo hili...lakini sikumuelewa....wewe ni mtu wa pili baada ya miaka 18
 
Huo ndio urafiki wa kweli. Unamuachia mwanao mke kama ukifa ili aendelee kukuenzi kupitia friendly match. Vijana wa sikuhizi tunakwama wapi kutoa ULISI jamani 🤣🤣🤣
 
Huo ndio urafiki wa kweli. Unamuachia mwanao mke kama ukifa ili aendelee kukuenzi kupitia friendly match. Vijana wa sikuhizi tunakwama wapi kutoa ULISI jamani 🤣🤣🤣
We unaweza kumuachia rafiki yako mkeo ukijua unakufa?
Ukimwambia hvyo alafu ukachelewa kufa atakutanguliza
 
Yes, Mandela aliyefungwa siiye aliyetoka jela, inaweza kuwa kweli Nelson Mandela died or killed in prison.

Mission ni lazima Winne ajengwe kiasi cha kumkataa Nelson completely.

Was a mission na walifanikiwa.

But I was liked Winne as much as I liked Princess Diana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…