Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
mkuu alisema kuwa anajua kufanya kazi hta kama hana cheti kwahiyo tusubili tuonee
Elimu sio kikwazo kwenye siasa maadamu amehitimu darasa la 7Mnasahau kwamba huyo Paul hata elimu yake ni shida. Yeye safari hii atabaki kulea mwanae tu hakuna namna
Hahahaaaa.......!Sababu PM ana ugonjwa wa kudharau na kusahau kuwa,hata baharini anayevuma ni papa, ila wengine wapo. Kuna samaki wana umeme grid ya Taifa cha mtoto ila size zao kama kisosa cha chai ya mama ntilie
For you yes is a man............................. not for me.
Aliekuambia ili uwe mtu lazima uwe Diwani au Mbunge nani? Nonsense!!!!! Ninyi ndio wale mnaowabebea na kuwatongozea wanaume wenzenu tena usinitetemeshe mie
Namaanisha kuwa Masele mbunge wa Shy Town ndo huyohuyo alikuwa mbunge wa Pan!!!Hakuna masele wawili
Kwa hali ilivyo wasingelazimisha Makonda pale Kigamboni, lakini wanaweza kumpa ubunge wa kuteuliwa kama watashinda!Mabeberu walifikisha faili la Makonda, hivyo ikawa hakuna namna ikabidi Mzee baba atengeneze mazingira ya kumuondoa kwa njia iliyofanyika. Win win situation serikali ya CCM imeepukana na mbinyo bila wananchi kujua kuwa ni mbinyo wa mabeberu, wakati mwingine kama alivyosema Palamagamba Kabudi masuala mengine yanafanyika kwa siri kulinda heshima.
Ndumba wanazo kwa mujibu wa Le Mutuz sasa amezidisha Dozi anashinda makanisani mchana na usiku wapo kwa waganga wa kienyeji.Ndumba imechuja.
Ukitaka uteuzi wa haraka toka kwa mtukufu jitoe fahamu watukane chadema kwa bidiiKatambi mjanja juzi alimtukana lissu na kujianzishia Uzi humu watu wakamfokea hatimaye kaonekana