Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajaongea na waandishi wa habari kuhusiana na sakata la Bandari?

Huyu mama urais uko juu ya uwezo wake, hakuna jambo anaongea akaeleweka, hana commanding speach ama basi authoritative speech.

Yaani yeye amekaa pale hutuba zake niko kama za kichungaji sio kichungaji, mama wa nyumbani sio mama wa nyumbani. Hotuba zake utasikia hili nali likaangaliwe, hili mliangalie, hili litazamwe, hili mkalitizame.

Urais is too much for her, too much.

Jana anasema kapewa majaribu sana hajui hata afanyeje, huyo ndio rais tulienae.
 
Aongelee kuhusu nini? Kama ni elimu inaendelea kutolewa na huwezi kulazimisha watanzania wote milioni 60 na ushee wakuelewe kwa pamoja. Tuliomuelewa inatosha wengine wakae kwa kutulia wasubiri maendeleo.
 
Ataongea nini wakati huo mkataba hajausima, na hata akiusoma hawezi kuelewa chochote...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!

Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.

La hasha. Haijawa hivyo.

Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.

Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;

Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.

Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?

Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.

Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?

Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?

Come on Samia….talk to the press [and the nation].

If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.

Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…

Siyo rahisi kihivyo. Unadhani kila mtu anaweza ongelea hilo suala. Linahitaji mtu smart kuweza lielezea na pia kujibu maswali. Labda hapo ni kuwa makini kutafuta waandishi hawa form four failure na kuwapa maswali ya kuuliza.
 
Ina maana hajui kinachoendelea, siyo?
Samia anajua walicho fanya na anajua siyo sahihi. Ila kwasababu fedha wanataka kwaajili ya uchaguzi , kuja kusema uongo mbele ya watu nafasi inamsuta. Nafsi inamwambia lakini nimekosea.......
 
Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!

Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.

La hasha. Haijawa hivyo.

Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.

Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;

Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.

Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?

Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.

Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?

Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?

Come on Samia….talk to the press [and the nation].

If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.

Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…

Nyerere was, and will always be the number one in every aspect of politics of this country and may be Africa.
 
Aongelee kuhusu nini? Kama ni elimu inaendelea kutolewa na huwezi kulazimisha watanzania wote milioni 60 na ushee wakuelewe kwa pamoja. Tuliomuelewa inatosha wengine wakae kwa kutulia wasubiri maendeleo.
Huwezi kumuelewa wewe kwa niaba ya Watanzania wote, usilazimishe, suala la Bandari ni muhimu sana kwa nchi yetu, ndio urithi wetu na linamuhusu kila Mtanzania, usilete ubinafsi wako kwa maslahi uchwara.
 
Hawezi na hatadhubutu kuitoa waandishi wa HABARI MILELE.

Maswali atakayoulizwa hataweza kujibu hata moja.

Akiitisha press conference nitawachangia UVCCM 20 milioni Ili waweze kufanikisha maandamano yao ya tar 18.7.2023
 
Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!

Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.

La hasha. Haijawa hivyo.

Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.

Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;

Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.

Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?

Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.

Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?

Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?

Come on Samia….talk to the press [and the nation].

If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.

Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…

Aongee kuhusu nini? Samia sio lopolopo Mzee.

Ujumbe wenu huu hapa 👇
 
Huyu mama urais uko juu ya uwezo wake, hakuna jambo anaongea akaeleweka, hana commanding speach ama basi authoritative speech.

Yaani yeye amekaa pale hutuba zake niko kama za kichungaji sio kichungaji, mama wa nyumbani sio mama wa nyumbani.

Urais is too much for her, too much.

Jana anasema kapewa majaribu sana hajui hata afanyeje, huyo ndio rais tulienae.
KAuli ya hovyo sana.
 
Karl Peter's sign fake treaty with Chief mangungo of Msovero many years ago.Nilifundishwa na mwalimu wangu wa history kidato Cha tatu akatusisitiza darasani kwamba tuwe makini Sana na kitu kinachoitwa kusaini mkataba ,tusitie sahihi zetu pasipo kuelewa kilichoandikwa na ikitokea hujaelewa shirikisha wataalamu wakufafanulie kilichomo ili usije kuingia mkenge.Historian kazi kwenu
 
Back
Top Bottom