Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Aongee mara ngapi?? Havutii kumsikiliza make hawezi kuhutuba. Lakini kwa nafasi chache alizopata tayari alishafikisha ujumbe.Samia hana jibu, wala usipoteze muda wako kumsubiri atolee ufafanuzi hilo suala la bandari, kimsingi wanachojibu kina Mbarawa ndio ujinga huo huo uliopo kwenye kichwa cha Samia, hana ajualo.
Ameshajipambanua siku nyingi yeye ni kiongozi wa kuwaachia wasaidizi wake wafanye kile kitu, yeye ni kama ceremonial president.
Hujiulizi kwanini licha ya kukaa kimya muda mrefu, lakini alipozungumza juzi wakati akiwaapisha kina Kitila bado aliongea pumba, akasema wakenya nao wamekimbilia uwekezaji wa DPW.
Kama vile hatutaki uwekezaji, wakati shida yetu ni terms za hovyo zinazotunyonya kwenye ule mkataba wa bandari, na unapomlinganisha na Nyerere ndio unatenda dhambi nyingine kubwa zaidi, huyo ungemuwekea mfano wa Kikwete tu inatosha.
My take: Ishu ya bandari tayari imeenda!
Dubai kamwaga fedha nyingi sana walafi hawawezi kuziacha!