butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Dah![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]She is a file handling education.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]She is a file handling education.
Tofauti ya umasikini na utajiri ni nini?Kwani sasa wewe ni tajiri?
Mkataba wa Mangungo huu hapa!Karl Peter's sign fake treaty with Chief mangungo of Msovero many years ago.Nilifundishwa na mwalimu wangu wa history kidato Cha tatu akatusisitiza darasani kwamba tuwe makini Sana na kitu kinachoitwa kusaini mkataba ,tusitie sahihi zetu pasipo kuelewa kilichoandikwa na ikitokea hujaelewa shirikisha wataalamu wakufafanulie kilichomo ili usije kuingia mkenge.Historian kazi kwenu
Faiza ndio mkuu wa nchi mkuuHuyu faiza ni nani nchi hii anajihusisha na shughuli gani kwanini anapambana sana wakati huu hasa sakata hili la bandari si usiku si mchana yupo active tofauti kabisa na kipindi cha magufuli
Waandishi wa kuwaogopa hawa waandishi wa bongo mkuu?au wengineInahusu sana tu. Mjinga ni anayeogopa kukabiliana na waandishi wa habari.
Huyu alikuwa na mambo mengi sana na hakuwa anajificha katika kuongea na waandishi wa habari!!
Kuna wakati huwa nahisi wewe ndo mama mwenyewe. Kama ndo wewe NISAMEHEHaihusu.
Wapo wenye kazi zao juzi waliitisha kongamano wakajibu maswali yote, na wamekubaliana kikao kijacho itakuwa ni mdahalo na wale wamaopinga.
Mama ana mengi sana ya kufanya, hana sababu za kubishana na wajinga.
Baada yake walikuja wavaa kobazi wenzako, bilashaka walikuachia utajiri!Mzee wa porojo tu huyo. Katuwacha masikini wa mwisho duniani, simsahau umasikini na ujinga wa mwisho duniani aliotuwacha nao.
mama ni wa vitendo zaidi.
Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!
Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.
La hasha. Haijawa hivyo.
Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.
Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;
Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.
Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?
Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.
Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?
Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?
Come on Samia….talk to the press [and the nation].
If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.
Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…
Nasikia awamu iliyopita ulikimbilia muscat kumuogopa "Simba wa yuda" [emoji1787]Tanzania hii wenye akili ni Mbowe na Slaa tu.
Ajabu hii, unamshambulia Shivji au hoja yake!? Mkataba ni wa muda gani? Utekelezaji wake ukoje?Na yeye na usomi wake alitahadharisha ubinafsishaji wa mabenki hatari kwa nchi asimame mbele leo atuonyeshe hizo athari kwenye hili la masuala ya uchumi na mageuzi huwezi sikiliza mtu kama Shivji alishaharibu toka mwanzo huko ukishachanganya imani zako za mambo ya ujamaa na taaluma utatoa tahadhari zisizokuwa na maaana , akajifunze kwa wenzake kama dean wa school ya Lee Kuan Yew watu wametoa michango ya kufanya nchi zao zimekuwa mataifa tajiri ulimwenguni .
Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!
Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.
La hasha. Haijawa hivyo.
Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.
Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;
Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.
Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?
Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.
Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?
Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?
Come on Samia….talk to the press [and the nation].
If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.
Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…
Historia yake ndiyo imemshambulia mwenyewe mimi nimekumbushia tu au nimesema uongo kuwa zama za kubinafsisha mabenk hakuwa na msimamo huo au alikuja tena kukiri kuwa msimamo wake haukuwa sahihi.Ajabu hii, unamshambulia Shivji au hoja yake!? Mkataba ni wa muda gani? Utekelezaji wake ukoje?
Haihusu.
Wapo wenye kazi zao juzi waliitisha kongamano wakajibu maswali yote, na wamekubaliana kikao kijacho itakuwa ni mdahalo na wale wamaopinga.
Mama ana mengi sana ya kufanya, hana sababu za kubishana na wajinga.
Wakina wakili Mwabukusi na wenzie pamoja na watanzania wengine wanao Pinga sio kwamba hawataki uwekezaji, lakini wanataka ufafanuzi na kuwekwa sawa katika vile vipengele wanavyo vipigia kelele,
lakini serikali badala ya kujibu hoja zao inakuja kuwaambia kwamba wao ni wapotoshaji, na wengine wakasema wana hongwa lakini hawasemi wana hongwa na nani, hapo ndipo ukakasi unapo zidi, kama wao ni wapotoshaji ukweli ni upi mbona hawa usemi kwa kunukuu mkataba wao?
Swali lingine limeibuka na halija patiwa majibu, kama huu mkataba una neema kiasi wanacho sema kwa nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye huo mkataba
Serikali itoe majibu kwa wananchi, watoe majibu ambayo yataondoa ukakasi wote uliopo kwa sababu wale wanao waita wapotoshaji ndio walio wafahamisha watanzania wengi uwepo wa huo mkataba na watu Waka waamini sasa wanavyo jichanganya kwenye majibu yao inafanya watu waamini kuna shida kwenye huo mkataba
Maswali kama haya ukiwauliza unaambiwa mna uelewa mdogo,lilishaongelewa.Wajibu basi hamna watakuletea kingereza kingiii!Mkataba ni WA muda Gani? Makubaliano au Mkataba? Operations zake zinaishia wapi? Etc ukiuliza unaambiwa hata Majirani wanauza, Sasa kama jirani ana mtoto Kahaba na wee lazima mwanao awe Kahaba? Akili za CCM kama za nzi TU
Wale wote wanaolalamikia Mikataba mibovu baina ya Serikali ya Tanzania na makapuni Ni hivi Mkataba wa Muungano ndio Mkataba mbovu kuliko Mikataba yote Tanzania ni kauli ya Makoma wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar mhe Othman Masoud Othman aloitoa jana mkwajuni kaskazini ungujaWakina wakili Mwabukusi na wenzie pamoja na watanzania wengine wanao Pinga sio kwamba hawataki uwekezaji, lakini wanataka ufafanuzi na kuwekwa sawa katika vile vipengele wanavyo vipigia kelele,
lakini serikali badala ya kujibu hoja zao inakuja kuwaambia kwamba wao ni wapotoshaji, na wengine wakasema wana hongwa lakini hawasemi wana hongwa na nani, hapo ndipo ukakasi unapo zidi, kama wao ni wapotoshaji ukweli ni upi mbona hawa usemi kwa kunukuu mkataba wao?
Swali lingine limeibuka na halija patiwa majibu, kama huu mkataba una neema kiasi wanacho sema kwa nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye huo mkataba
Serikali itoe majibu kwa wananchi, watoe majibu ambayo yataondoa ukakasi wote uliopo kwa sababu wale wanao waita wapotoshaji ndio walio wafahamisha watanzania wengi uwepo wa huo mkataba na watu Waka waamini sasa wanavyo jichanganya kwenye majibu yao inafanya watu waamini kuna shida kwenye huo mkataba
Haihusu.
Wapo wenye kazi zao juzi waliitisha kongamano wakajibu maswali yote, na wamekubaliana kikao kijacho itakuwa ni mdahalo na wale wamaopinga.
Mama ana mengi sana ya kufanya, hana sababu za kubishana na wajinga.
Wanatukana hao! Hatuogopi matusi, sio sumuMaswali kama haya ukiwauliza unaambiwa mna uelewa mdogo,lilishaongelewa.Wajibu basi hamna watakuletea kingereza kingiii!
Real example kabisaIko hivi... Lazima yule Karl Peters wa zamani alitumia hongo. Na hata huyu wa sasa naye katumia hongo!
Kitu ambacho Mwalimu wako hakukwambia ni kuwa kina Karl Peters wapo. Na kina Chief Mangungo pia wapo. Tena kwa sasa ni wasomi na wataalamu kweli kweli!
#Maslahi
#Hongo