The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Nimepata jibu 😃😃😃Zungu fulani hivi la Dar😂😂
She is a file handling education.orry kwanza kwani rais mama samia kasomeaga nini??
Aliyejificha ndio mjinga, ujinga wake utaisha pale tu atakapo tokelezea hadharaniMama ana mengi sana ya kufanya, hana sababu za kubishana na wajinga.
Siyo rahisi kihivyo. Unadhani kila mtu anaweza ongelea hilo suala. Linahitaji mtu smart kuweza lielezea na pia kujibu maswali. Labda hapo ni kuwa makini kutafuta waandishi hawa form four failure na kuwapa maswali ya kuuliza.Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!
Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.
La hasha. Haijawa hivyo.
Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.
Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;
Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.
Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?
Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.
Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?
Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?
Come on Samia….talk to the press [and the nation].
If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.
Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…
Samia anajua walicho fanya na anajua siyo sahihi. Ila kwasababu fedha wanataka kwaajili ya uchaguzi , kuja kusema uongo mbele ya watu nafasi inamsuta. Nafsi inamwambia lakini nimekosea.......Ina maana hajui kinachoendelea, siyo?
Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!
Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.
La hasha. Haijawa hivyo.
Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.
Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;
Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.
Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?
Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.
Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?
Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?
Come on Samia….talk to the press [and the nation].
If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.
Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…
Huwezi kumuelewa wewe kwa niaba ya Watanzania wote, usilazimishe, suala la Bandari ni muhimu sana kwa nchi yetu, ndio urithi wetu na linamuhusu kila Mtanzania, usilete ubinafsi wako kwa maslahi uchwara.Aongelee kuhusu nini? Kama ni elimu inaendelea kutolewa na huwezi kulazimisha watanzania wote milioni 60 na ushee wakuelewe kwa pamoja. Tuliomuelewa inatosha wengine wakae kwa kutulia wasubiri maendeleo.
Aongee kuhusu nini? Samia sio lopolopo Mzee.Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!
Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.
La hasha. Haijawa hivyo.
Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.
Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;
Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.
Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?
Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.
Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?
Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?
Come on Samia….talk to the press [and the nation].
If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.
Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…
KAuli ya hovyo sana.Huyu mama urais uko juu ya uwezo wake, hakuna jambo anaongea akaeleweka, hana commanding speach ama basi authoritative speech.
Yaani yeye amekaa pale hutuba zake niko kama za kichungaji sio kichungaji, mama wa nyumbani sio mama wa nyumbani.
Urais is too much for her, too much.
Jana anasema kapewa majaribu sana hajui hata afanyeje, huyo ndio rais tulienae.
Nchi hii wanasiasa wa upande wa utawala na machawa wao wanajihisi kuwa na akili kuliko vipimo vya akili ... Hasa hasa wakishapenyezewa mlungula!!We shivji unamuona hana akili..mtu ambaye masheria kibao kayatengeneza