ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mkataba umevuja ataongea nini. Hakutegemea yanayoendeleaNi zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!
Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.
La hasha. Haijawa hivyo.
Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.
Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;
Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.
Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?
Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.
Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?
Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?
Come on Samia….talk to the press [and the nation].
If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.
Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…
Alijichanganya kwenye Kesi ya Mbowe sahivi akili imemkaaNi zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!
Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.
La hasha. Haijawa hivyo.
Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.
Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;
Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.
Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?
Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.
Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?
Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?
Come on Samia….talk to the press [and the nation].
If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.
Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…
Ni saizi yako kuaminishwa uongo, kwa sababu ya upoyoyo."Ni ma-far-ler ndiyo maana mmesaini mikataba ya kibwege na ya kijinga huku mkiwa na wataalam wenu" - Lusekelo
Na mimi lilinijia wazo kama hilo.Kuna wakati huwa nahisi wewe ndo mama mwenyewe. Kama ndo wewe NISAMEHE
Mtu akiwa na tonge mdomoni kuongea inskuwa shida!Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!
Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.
La hasha. Haijawa hivyo.
Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.
Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;
Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.
Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?
Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.
Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?
Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?
Come on Samia….talk to the press [and the nation].
If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.
Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…
Aongee nao wa nini wakati jambo liko bayana na nchi itanufaika? Mama aendelee kujinywea maji asisikilize sauti za vyura.Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!
Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.
La hasha. Haijawa hivyo.
Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.
Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;
Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.
Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?
Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.
Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?
Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?
Come on Samia….talk to the press [and the nation].
If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.
Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…
Kwenye hili utaaibika siku si nyingi.Ni saizi yako kuaminishwa uongo, kwa sababu ya upoyoyo.
Huyo pumbavu unamfananisha vipi na mama Samia?Kuna wakati huwa nahisi wewe ndo mama mwenyewe. Kama ndo wewe NISAMEHE
FaizaFoxy umeiona hii? Inakuhusu...Faiza mtajie tu Magufuli, uone atakavyochomoka nduki! Nadhani alikua na kesi ya uhujumu uchumi enzi za mwendazake ndio maana alipotea from 2016 Hadi 2023 alivyoona kumepoa
Mbona tayari kaaibikaKwenye hili utaaibika siku si nyingi.
Wishful thinking.Kwenye hili utaaibika siku si nyingi.
amesomea mapishiMuhimu ni kwamba wataalam kama kina shivji washaongea sasa we shivji unaona hana akili?mtu ka publish mavitu yanasomwa chuo kikuu Leo hii aongee kitu kuhusu tasnia yake me nimpinge..sorry kwanza kwani rais mama samia kasomeaga nini??
Indeed this move has failed...has backfired...it will go down the drain. Just a matter of timeWishful thinking.
Hana content na akili hio hana huyo Libibi waoNi zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!
Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.
La hasha. Haijawa hivyo.
Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.
Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;
Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.
Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?
Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.
Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?
Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?
Come on Samia….talk to the press [and the nation].
If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.
Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…
There those who wonder things happening 🤣🤣🤣There are people who make things happen. There are people whowatch things happen. And there are people who say, “whathappened?”
Hapana, sio ubishane nawe...Inanihusu nini? Yeye kaandika mawazo yake. Nibishane na mawazo yake? Au?