Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajaongea na waandishi wa habari kuhusiana na sakata la Bandari?

Ww huwa ni mjinga na vingereza Koko. Ila leo umeongeo jambo la msingi kwanini raisi anakimbia kujibu jambo zito!? Analijibu jibu kwa mbali. This is not a practice of our presidents. Magu kwenye hoja nzito alikuwa anakuja front kutoa maelezo.
 
Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!

Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.

La hasha. Haijawa hivyo.

Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.

Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;

Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.

Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?

Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.

Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?

Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?

Come on Samia….talk to the press [and the nation].

If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.

Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…

Mkataba umevuja ataongea nini. Hakutegemea yanayoendelea
 
Alijichanganya kwenye Kesi ya Mbowe sahivi akili imemkaa
 
Hana uwezo wowote wakujibu zile hoja,anafikilia wajomba zake watafanyaje akifuta mkataba.
Na pesa ya mwarabu wamekula tiyari.
Mpaka watanganyika tujute.
 
Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!

Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.

La hasha. Haijawa hivyo.

Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.

Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;

Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.

Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?

Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.

Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?

Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?

Come on Samia….talk to the press [and the nation].

If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.

Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…

Mtu akiwa na tonge mdomoni kuongea inskuwa shida!
 
Aongee nao wa nini wakati jambo liko bayana na nchi itanufaika? Mama aendelee kujinywea maji asisikilize sauti za vyura.
 
Muhimu ni kwamba wataalam kama kina shivji washaongea sasa we shivji unaona hana akili?mtu ka publish mavitu yanasomwa chuo kikuu Leo hii aongee kitu kuhusu tasnia yake me nimpinge..sorry kwanza kwani rais mama samia kasomeaga nini??
amesomea mapishi
 
There are people who make things happen. There are people whowatch things happen. And there are people who say, “whathappened?”
 
Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!

Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.

La hasha. Haijawa hivyo.

Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi.

Hali hii imenifanya nijiulize maswali kadha wa kadha;

Kwa vile ni gumzo ambalo limeendelea kutawala mazungumzo ya watu kwa muda mrefu [kwa zama hizi za utandawazi, umma kuongelea jambo moja kwa zaidi ya mwezi, ni muda mrefu!], basi ni wazi kuwa wananchi wengi wanaliona kuwa ni suala la muhimu sana.

Sasa kwa nini mpaka sasa Rais Samia hajaitisha mkutano wa habari na waandishi wa habari ili kulizungumzia na kulitolea ufafanuzi na kujibu maswali ya wananchi?

Badala yake, ni kama vile kajificha nyuma ya makada wa chama chake pamoja na baadhi ya wateule wake serikalini ambao wao ndo wamejaribu kulizungumzia, lakini kila wafanyapo hivyo, wanaishia kuzua maswali mengi zaidi.

Ni kwamba hana taarifa za kutosha za kumwezesha kulizungumzia hilo suala mbele ya waandishi wa habari?

Au hajiamini kuongea na waandishi wa habari?

Come on Samia….talk to the press [and the nation].

If everything is above board….is on the up and up, it shouldn’t be that difficult for you to talk to the press and take their questions.

Ona huyu alivyokuwa anakabiliana na waandishi wa habari wa kimataifa…

Hana content na akili hio hana huyo Libibi wao
 
Inanihusu nini? Yeye kaandika mawazo yake. Nibishane na mawazo yake? Au?
Hapana, sio ubishane nawe...

Isipokuwa usome, yakuingie kwenye akili (ufahamu wako) kisha utoke kwenye giza la kutoelewa!!

That's all. Nothing more, nothing less..
 
Back
Top Bottom