Ahaa asante kwa mawazo haya!Kuwa atheist sio kuporomoka kwa maadili, ni kupata akili
Wachungaji walizokula zinawatosha, watu wamepata akili
wewe upo upande gani.Kasi ya watu kuwa atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America lakini atheism imehamia Africa na inakua kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.
Kasi ya watu kuwa atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America lakini atheism imehamia Africa na inakua kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika na ujio wa tabia kama ushoga na usagaji? Tujadili.
Wanatumia Maarifa ya dini kujiingizia kipato na kujilimbikizia Mali, wajinga wachache na vichaa wasioelewa ndio wasiolitambua hilo Ila wenye akili wanaelewa kinachoendeleaViongozi wameacha dini, wanafanya biashara
Unajilinganisha na Mungu mkuuMungu ametuagiza tusamehe 7 mara 70, ila yeye kashindwa kumsamehe shetani. Ufafanuzi wa hili sijui ukoje.
Mungu alisema kuua ni dhambi lakini kwenye vitabu vya dini mara kadhaa Mungu ameua wale waliomchukiza.
Suala la Mungu ni eneo Pana sana hapa utamkaribisha Kiranga na mjadala hautoisha Leo maana atakwambia hamjui Mungu maana Mungu hayupo Mungu unaemzungumza ni yule alieumbwa na wanadamu Ila Mungu hayupo, hio ni kwa mujibu wa Kiranga ngoma ngumuMungu ametuagiza tusamehe 7 mara 70, ila yeye kashindwa kumsamehe shetani. Ufafanuzi wa hili sijui ukoje.
Mungu alisema kuua ni dhambi lakini kwenye vitabu vya dini mara kadhaa Mungu ameua wale waliomchukiza.
Naamini uwepo wa Mungu kunaifanya jamii iwe na maadili bora zaidi.wewe upo upande gani.
watu wanafundishwaa kutii viongozi na kuwapa upendeleo viongozi wa dini kuliko hata Mungu
Viongozi wameacha dini, wanafanya biashara
Umepiga kwenye MSHONO nabii wa mchongo anataka Pesa za Sadaka anakwambia Pesa hizo zinaenda kwa Mungu, Mungu mwenyewe hujawahi hata kumuona lazima ufikiche akili wakati yeye anatajirikaTatizo ni kwamba Vijana hawana hela halafu Mungu anahitaji Pesa. Na Mungu hatoagi pesa hata akikupa unakua ushapigika kweli
Cha ajabu hizo imani tulizoletewa ndio zimekuwa mawakala wa ubakaji, ulawiti na maadili mengine mabovu. Kidume mzima aliyekomaa anajificha mbele ya madhabau na kupachikwa jina Padre anaapa kuishi bila kuoa kwa sababu ya Mungu mwisho wa siku anaishia kulawiti vijana wa altareni. StupidJe wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuongezeka kwa ushoga, usagaji, ubakaji, ulawiti na madhambi mengine? Tujadiliane.
Binadamu wote tumeumbiwa mifumo mitatu mfumo wa Nafsi unao-control akili, hisia, utashi na Maarifa kwa ujumla, mfumo wa Roho unao-control masuala ya kiimani na mfumo wa Mwili unao-control mechanism nzima ya uchakataji chakula ukiwa na tisu, seli na mfumo wa upumuaji na mfumo wa fahamu na mfumo wa damu, na mifumo yote hii inafanya kazi kwa kuangaliana yaan kwa kutumia formula ya Check's and Balance sasa ikitokea mfumo mmoja umefanya ukavuka ukomo au mstari na kufanya kazi za mfumo mwingine ndio hapo unapomkuta Padre amepiga kitasa kwenye Bunyero sio kwamba Padre ni Malaika Padre nae ni binadamu km Mimi na wewe hata yeye anazimika na misambwanda, elewa hivyoCha ajabu hizo imani tulizoletewa ndio zimekuwa mawakala wa ubakaji, ulawiti na maadili mengine mabovu. Kidume mzima aliyekomaa anajificha mbele ya madhabau na kupachikwa jina Padre anaapa kuishi bila kuoa kwa sababu ya Mungu mwisho wa siku anaishia kulawiti vijana wa altareni. Stupid
Dini ina kazi yoyote katika hiyo mifumo?Binadamu wote tumeumbiwa mifumo mitatu mfumo wa Nafsi unao-control akili, hisia, utashi na Maarifa kwa ujumla, mfumo wa Roho unao-control masuala ya kiimani na mfumo wa Mwili unao-control mechanism nzima ya uchakataji chakula ukiwa na tisu, seli na mfumo wa upumuaji na mfumo wa fahamu na mfumo wa damu, na mifumo yote hii inafanya kazi kwa kuangaliana yaan kwa kutumia formula ya Check's and Balance sasa ikitokea mfumo mmoja umefanya ukavuka ukomo au mstari na kufanya kazi za mfumo mwingine ndio hapo unapomkuta Padre amepiga kitasa kwenye Bunyero sio kwamba Padre ni Malaika Padre nae ni binadamu km Mimi na wewe hata yeye anazimika na misambwanda, elewa hivyo
Mungu anapewa vingi tofauti na yeye anavyodeliver in returnKasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je, wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.