Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muonyeshe huyo MunguZaburi 53:1 'MPUMBAVU amesema moyoni hakuna MUNGU'
Biashara kati ya Mungu na binadamu ni biashara kichaaaTatizo ni kwamba unapokuwa unaomba kitu ambacho hakikusaidii wala kukupa matokeo lazima ukate tamaa
AhaaaaaBinadamu wote tumeumbiwa mifumo mitatu mfumo wa Nafsi unao-control akili, hisia, utashi na Maarifa kwa ujumla, mfumo wa Roho unao-control masuala ya kiimani na mfumo wa Mwili unao-control mechanism nzima ya uchakataji chakula ukiwa na tisu, seli na mfumo wa upumuaji na mfumo wa fahamu na mfumo wa damu, na mifumo yote hii inafanya kazi kwa kuangaliana yaan kwa kutumia formula ya Check's and Balance sasa ikitokea mfumo mmoja umefanya ukavuka ukomo au mstari na kufanya kazi za mfumo mwingine ndio hapo unapomkuta Padre amepiga kitasa kwenye Bunyero sio kwamba Padre ni Malaika Padre nae ni binadamu km Mimi na wewe hata yeye anazimika na misambwanda, elewa hivyo
Na overtime watauunga mkono hata ushoga Ili waendelee kula sadakaKuwa atheist sio kuporomoka kwa maadili, ni kupata akili
Wachungaji walizokula zinawatosha, watu wamepata akili
Halafu na mwisho wa mwaka tunamchangia mamilioni Ili kumsimamisha na kumtegemezaCha ajabu hizo imani tulizoletewa ndio zimekuwa mawakala wa ubakaji, ulawiti na maadili mengine mabovu. Kidume mzima aliyekomaa anajificha mbele ya madhabau na kupachikwa jina Padre anaapa kuishi bila kuoa kwa sababu ya Mungu mwisho wa siku anaishia kulawiti vijana wa altareni. Stupid
Aliyekuambia waafrika hawaamini Mungu ni nani? HAKUNA mwafrika asiye amini Mungu ila wengi siku hizi baada ya kusoma na kujuwa ukweli hawataki tena kuabudu hizi dini za kuletewa na wakoloni kwani hazina ukweli wowote.Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je, wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.
CongratsAliyekuambia waafrika hawaamini Mungu ni nani? HAKUNA mwafrika asiye amini Mungu ila wengi siku hizi baada ya kusoma na kujuwa ukweli hawataki tena kuabudu hizi dini za kuletewa na wakoloni kwani hazina ukweli wowote.
Hapo Sina la kuongezeaDini imeshakua Biashara halali ukitaka kupiga Pesa za wajinga vichaa wapungufu wa akili jiite prophet au jiite nabii au jiite kuhani baada ya hapo fungua kanisa lako hawatojari una elimu gani wewe tema neno ukimaliza wakamue sadaka tena kaba hadi kwenye mitandao ya simu yote weka namba wajinga watachangia, miezi miwili mingi una kiwanja kigambo huku unapush harrier matako ya nyani new model
Si Biblia tu na Qur'an piaCongrats
Overtime Mungu wa kwenye makaratasi yaitwayo Biblia atapitwa na wakati
Binafsi sioni kama kuna vijana wengi wanao mchukia Mungu ila ninachokiona ni Changamoto za maisha (ukosefu wa AJIRA/mitaji na ukosefu wa Mvua za msimu zinazopelekea kukosekana kwa mazao na hivyo kuwepo na ugumu wa maishaKasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je, wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.
Wewe nawe pia unasema MUNGU hayupo Mungu hana uwezo Mungu ni ameumbwa na simulizi za kusadikika za wanadamu Mungu hajawahi kuwepo, unamaanisha hivyo ? Na je pia wewe una-support ushoga na usagaji ?Naungana na Kiranga