Kwanini siku hizi vijana wengi mnamchukia Mungu, mmegombana nae?

Kwanini siku hizi vijana wengi mnamchukia Mungu, mmegombana nae?

Wewe nawe pia unasema MUNGU hayupo Mungu hana uwezo Mungu ni ameumbwa na simulizi za kusadikika za wanadamu Mungu hajawahi kuwepo, unamaanisha hivyo ? Na je pia wewe una-support ushoga na usagaji ?

Mungu hajawahi kuwepo kuna wahuni wachache walitutangulia wakaleta haya yote,hio ilikuwa ni njia ya kucontrol watu
Habari kuhusu huyo Mungu zinaji contradict zenyewe
Tukirudi kwenye ushoga na usagaji unaposema na-support unamaanisha nini haswa fafanua ili nijibu swali lako vizuri
 
People believe in God because they have been Conditioned to believe in God.

Watu wana mwamini Mungu kwa HOFU na WASIWASI walizo jengewa tangu wadogo kwamba wasipo mwamini kuna Tanuru la moto mkali litawachoma.

Fear of Unknown imagination just an illusion.

Kama hazina zetu zipo mbinguni kulikuwa na haja gani ya kuumba dunia?

Ukitafakari hivi vitu kwa umakini mkubwa utagundua kwamba Mungu na mbinguni ni dhana za kufikirika hazipo.
 
Wewe nawe pia unasema MUNGU hayupo Mungu hana uwezo Mungu ni ameumbwa na simulizi za kusadikika za wanadamu Mungu hajawahi kuwepo, unamaanisha hivyo ? Na je pia wewe una-support ushoga na usagaji ?
Wewe ni mjinga

Hujui kujenga hoja za kudhihirisha uwepo wa Mungu, Una changanya mada kwa kuingiza ushoga.

Mada inahusiana na Atheism wewe unaleta ushoga!

Au na wewe ni shoga?
 
Kiranga ni supporter wa mashoga na wasagaji, haamini uwepo wa Mungu anakubariana na uwepo wa ushoga na usagaji wewe je uhamini katika uwepo wa Mungu una-support ushoga na usagaji ?

Hapa duniani kila mtu ajiwekee principles zake usisubiri watu wakupangie wewe
Ushoga na usagaji ni kitu tofauti na hii topic hapa ni sawa uniulize kuoa mke mmoja au kuoa wake wengi uwezavyo mimi nipo upande upi
Jikite kwenye mada ya uwepo wa Mungu
Mimi kukubaliana na kiranga kuhusu Mungu kutokuwepo haimaanishi nakubaliana nae kuhusu kila kitu[emoji2]
Mpaka sasa huwezi kujua kama na support au la
Hio ni topic nyingine haihusu uwepo wa Mungu
 
Wewe ni mjinga

Hujui kujenga hoja za kudhihirisha uwepo wa Mungu, Una changanya mada kwa kuingiza ushoga.

Mada inahusiana na Atheism wewe unaleta ushoga!

Au na wewe ni shoga?

Usimkejeli ndugu mueleweshe tu kua kachanganya mada[emoji3][emoji3]usiwe mkali hivyo
 
Usimkejeli ndugu mueleweshe tu kua kachanganya mada[emoji3][emoji3]usiwe mkali hivyo
Huyu jamaa ni mjinga

Yeye ame anza kuwaita wengine mashoga na kawa tag na kuwa quote kabisa kina Kiranga na kuwaita mashoga,Wala hana ushahidi wala Uthibitisho wa akisemacho.

Hajui kujenga hoja huyu, Ana mihemko na hasira zake.

Pengine yeye ndio shoga.Maana amebadilisha mada na kuleta ushoga.
 
Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.

Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je, wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.

Ni jambo la hatari, ila yalitabiriwa.
 
Back
Top Bottom