Kwanini siku hizi vijana wengi mnamchukia Mungu, mmegombana nae?

Aa
Ahaaaaa
 
Halafu na mwisho wa mwaka tunamchangia mamilioni Ili kumsimamisha na kumtegemeza
 
Aliyekuambia waafrika hawaamini Mungu ni nani? HAKUNA mwafrika asiye amini Mungu ila wengi siku hizi baada ya kusoma na kujuwa ukweli hawataki tena kuabudu hizi dini za kuletewa na wakoloni kwani hazina ukweli wowote.
 
Dini imeshakua Biashara halali ukitaka kupiga Pesa za wajinga vichaa wapungufu wa akili jiite prophet au jiite nabii au jiite kuhani baada ya hapo fungua kanisa lako hawatojari una elimu gani wewe tema neno ukimaliza wakamue sadaka tena kaba hadi kwenye mitandao ya simu yote weka namba wajinga watachangia, miezi miwili mingi una kiwanja kigambo huku unapush harrier matako ya nyani new model
 
Aliyekuambia waafrika hawaamini Mungu ni nani? HAKUNA mwafrika asiye amini Mungu ila wengi siku hizi baada ya kusoma na kujuwa ukweli hawataki tena kuabudu hizi dini za kuletewa na wakoloni kwani hazina ukweli wowote.
Congrats

Overtime Mungu wa kwenye makaratasi yaitwayo Biblia atapitwa na wakati
 
Hapo Sina la kuongezea
 
Binafsi sioni kama kuna vijana wengi wanao mchukia Mungu ila ninachokiona ni Changamoto za maisha (ukosefu wa AJIRA/mitaji na ukosefu wa Mvua za msimu zinazopelekea kukosekana kwa mazao na hivyo kuwepo na ugumu wa maisha
Kwa kawaida Binadamu mambo yasipo enda Vizuri huwa tunatabia ya kutafuta wa kumtupia lawama......
 
Fikiria kama Mungu Leo ameamua kumsamehe shetani, je, utaendelea kwenda church, utaendelea kusali, etc.

Na je, atatumia njia Gani kuiambia Dunia kwamba msala wake na shetani umeisha?

Sijawahi acha kwenda Church, lakini Kuna story za sijui shetani, jehanamu, zaka, sadaka, etc ukinihubiria, sikubishii ila nakuachia mahubiri Yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…