Kwanini siku hizi wanandoa wengi hawapendi kuvaa pete za ndoa?

Embu ashumu mkeo amemuita Basha ake nyumbani kwako amempikia kamuwekea maji yakuoga afu amekandwa namjuba kitandani kwako ivi hiyo Pete Ina nguvu gani ,,,,ndoa zakimila zinafanya vizuri kitakwimu kuliko zamakanisani hayo mapete niubwege tu
 
🤣🤣🤣🤣Eti ulijaribu umeshindwa,una uhakika hujiendekezi?
 
Misijawahi kuivua pete ya ndoa, na ninaamini kuvaa pete kwangu ni agano kati ya mimi na mke wangu mpenzi.
Pia kuvaa pete ya ndoa ni utambulisho kwa jamii inayo kuzunguka, ingawa pete haimzuii mwenye roho ya usaliti kufanya yake.
Mmmh hii comment mbona kama unaandika wife kakusimamia shemeji 😂😂😂?maana naona wenzio wote wanadiss tu hapa
 
Yaani unawekaje gold kama asset wakati ikifika tu mkononi mwako ina depreciate? Yaani ununue Pete million mbili uje uuze laki Saba?mahesabu Yako umeyapangaje Mzee baba?
 
😅😅😅 hapa nakuunga mkono, na mie ndio naishi hivi aisee pete ya gold inauzika fumba na kufumbua
 
Weeee nani kakwambia?nenda Kwa sonara Sasa hivi kama hajakubamiza bei.....utaiuza bei ikiwa raw imetokea nayo mgodini,ila ikishaonekana imenakshiwa sonara anaitaka Kwa bei cheeee
 
Mmmh hii comment mbona kama unaandika wife kakusimamia shemeji 😂😂😂?maana naona wenzio wote wanadiss tu hapa
Shem, achana na hao wanapenda kuwakula nalikini hawataki wajulikane kama wanawakula.
Anaepinga hii ujue hataku kuonekana kwenye jamii kwamba tayari ana agano.
Kwanza minaona tangu nivae pete ya ndoa ndio kwanza mbususu zinamiminika upande wangu kwamba "huyu ameoa ndie katulia"🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣Kumbe wanataka kujifanya hawajaoa eeeh?Wangejua wenye Pete ndio wadada wa siku hizi wanawataka!
 
Sio kweli, naishi dunia hii hii unayoishi wewe.
Ulioandika hapa ni uongo mtupu ni vijisababu vya wapenda ngono kutovaa pete ya ndoa.
 
Mkuu, kwa hiyo sisi tunaopinga kuvaa pete tuna letu jambo? Tunajificha tusionekane kama tumeoa. Hivi kwa umri wangu nikikutana na mdada nina haja ya kumwambia nimeoa/nina mke?

Binafsi sioni tija ya pete, kiimani kwangu haina nafasi yoyote, nikiamua kucheat pete haiwezi kunizuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…