Kwanini siku hizi wanandoa wengi hawapendi kuvaa pete za ndoa?

Kwa nini ujiwekee CAVEAT wakati macho bado yanaona... Mmbaada ya kumaliza sherwhe ya harusi nilivyo vua hotelini sijawah ivaa tena miakasita now
 
Unavaa mapete mkono wa kushoto halafu unahangaika nayo wakati unataka kujisafisha 🤣🤣🤣
 
Mwanamke akijua umeowa ndio wanakusumbua na kukutaka, au hujafanya research vizuri wewe ? Vaa hio Pete uwone makini mahaba watakavyo kuandama mpaka ndoa ivunjike
 
Mawazo yangu,inawezekana wanandoa wa sasa hivi wana majukumu mengi sana kwahiyo pete zinapotea wakiwa kwenye mihangaiko...
 
Pete inawazuia kutongozwa na kutongoza,ndoa imekua jina tu,mapenzi ya watu wengi wengi imekua ni jambo la kawaida...ushenzi umeongezeka sana kupita kiasi
 

Vile wanaoanaga na kuanza kunenepeana itakua haziwatoshi tena sasa, zimewabana

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…