Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

Kusoma kwao au ulikua ushauri wa wazungu!?
 
Hujui kwamba huko kwenye taasisi za kidini kunakuwa na shughuli za kiuchumi na kijamii kama ufugaji,kilimo,hospitali mfano angalia RC utaelewa
Dini na shughuli za kiuchumi wapi na wapi!?..wafuate taratibu za wawekezaji wengine kwenye kupewa ardhi,kodi na kila kitu,lakini Wana Bei kubwa kwenye hizo shughuli zao na bado wanapitisha vitu bandarini bila kutozwa ushuru,Kisha wanabeba na sadaka za waumini masikini,hao wanyonyaji,watazanwe kwa jicho jingine
 
Eti taasisi karibia zote hapa nchini? Ila wanaomfahamu vizuri mleta mada hii ni thread yenye mind game. Ungesema tu RC😂
 
Mathayo 11:12
[12]Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka.
And from the days of John the Baptist until now the kingdom of heaven suffereth violence, and the violent take it by force.

Kwako FaizaFoxy
 
Faizafoxy, nilikuwa sijui kama una akili ndogo namna hii. hapo unazuga tu. mimi sio mkatoliki, ila nikusaidie tu kufunguka, nia yako ni kusema kwanini wakatoliki wanahodhi maeneo makubwa namna hii?

jibu ni kwamba, Wakatoliki sio watu wa uswahilini wanaojenga nyumba za ibada katikati ya waswahili. wao huchagua maeneo ya pembezoni kabisa ya mji, mapadre na mabruda/mabrother na watawa wote hupendelea kujenga mission sehemu za pembezoni kusiko na watu, pawe pametuliaaa ili wapate muda mzuri kusoma Neno la Mungu na kutafakari. wakishajenga mission, hujenga pia huduma za kijamii ambazo dini zote hutumia. shida inakuja pale watu huwa wanawafuata, wananchi ndio siku zote huwafuata hawa jamaa kwenye maeneo yao. hapo kosa lao ni nini? maeneo kweli wanayo makubwa ila ukiuliza utasikia waliyapata miaka 30 au 40 iliyopita wakati dingi yako faiza alikuwa anacheza kigodoro huko hana hata mpango kutafuta ardhi.

lengo kubwa wao huwa ni kuwa na eneo kubwa la kujenga shule, hospitali na vyuo. ni huduma 100% kwasababu wao hawahodhi mali, hawana familia ya kutunza, hawana watoto mke wale mume, chochote wanachofanya hufanya kwa faida ya kanisa. hivyo ukikuta wana maeneo makubwa wapongeze kwasababu wamekuwa nayo miaka yote hiyo wakiyatunza.

pia, Tanzania hii ina maeneo makubwa mno yapo bure tu, wakatoliki wataenda huko na miaka ijayo watoto wenu watakuja kulalamika kwamba kwanini wakatoliki wana maeneo makubwa namna hii. nasema umelenga wakatoliki kwasababu hakuna dhehebu lingine lolote lenye maeneo kama hili. walokole hawanaga maeneo, walutheran na waanglican au nisema waprotestants wote hawanaga desturi ya maeneo. tukija upande wenu nyie kina faizafoxy ndio sio utamaduni wenu kabisa, iwe wa kumiliki maeneo, kujenga shule, hospital au vyuo. mnasubiri kupewa kama chuo cha morogoro.
 
Unaongelea "nyie" ndiyo kina nani hao?
nafikiri anamaanisha, nyie walalamikaji. mbona bado kuna maeneo mengi tu faiza, nenda kahodhi tena ya bei ndogo sana. zamani kiluvya hapo palikuwa porini sasaivi ni dsm. maeneo kibaha huko yamejaa, baadaye watoto wako watakuja kusema taasisi fulani zimehodhi kumbe walichangamka mapema.
 
Udini na uchawa utakuua kwa tunakufahamu Wala hautupi shida umezunguka weeee kuandika Ila ujue tu BANDARI na ardhi ya TANGANYIKA haitoki uislamu peleka Zanzibar af unapozungumzia masuala mtambuka wewe zungumzia ya Zenji bara siyo kwenu.
Over
 
Mwambie aje Bugando tu aone Kanda ya ziwa inavyopata huduma wakati Hospitali ya Seko Toure ya serikali ipo hoi!
 
Udini na uchawa utakuua kwa tunakufahamu Wala hautupi shida umezunguka weeee kuandika Ila ujue tu BANDARI na ardhi ya TANGANYIKA haitoki uislamu peleka Zanzibar af unapozungumzia masuala mtambuka wewe zungumzia ya Zenji bara siyo kwenu.
Over
kumbe hii mbuzi ni ya zenji? anatafuta nini sasa huku? si akale urojo huko? hivi kweli kumbe siku zote nabishana na mtu anayekula urojo?
 
Unaongelea "nyie" ndiyo kina nani hao?
Dada yangu najua unawazingumzia Wakatoliki;kwanza wale wamewekeza kwenye Elimu na Afya ambazo ni msaada kwa masikini wa nchi hii,mfano Mwanza tu hapa na Kanda ya ziwa kwa ujumla Hospitali ya Bugando ya Wakatoliki ndiyo imebeba mzigo mkubwa wakati Hospitali za serikali zipo hoi!
Fear Vatican Mama,wale wanatawala Dunia,ata wakichukua maeneo makubwa kwangu Mimi sawa tu kwasababu msaada wao kwa jamii ni mkubwa pia.
Takibiiir!
 
BAKWATA maeneo yao wamemuuzia Manji sasa naona wanatamani na wengine wauze au waporwe ili wote muwe sawa. Wivu mbaya sana
 
ndio maana nimemwambia, mimi sio mkatoliki, ila nawaheshimu sana kwasababu nimefaidika nao sana hata shule nimesoma ilijengwa 100% na wakatoliki. na tulisoma watu wa dini zote, hata ya faizafoxy. labda huko zenji kama shule kama hizo hazipo.
 
Tena kwa kuongezea, taasisi za Kiislam ndiyo zinahodhi maeneo makubwa makubwa kila sehemu Tanzania hii, kuliko taasisi yoyote ya kidini Tanzania, serikali ikazirudishe wapewe wananchi.
Kwa Waislamu kunyang'anywa naunga mkono,nyie siyo watu wa maendeleo,maneno mengi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…