FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #101
Hii nchi, wengi walioenda shule walienda kusomea ujinga.Tatizo kubwa kwa upande wa taasisi za dini za kwa mleta mada (Faiza Fox) kukosa kumiliki maeneo mengi au ardhi kubwa ni kutokana na ukosefu wa elimu dunia kiasi cha kuwafanya wasiwe na muono wa kuweza kuona mbali kifikra.
Waliosema "elimu ni ufunguo wa maisha" hawakukosea kabisa.
Mfano mzuri ni wewe na wengine wengi walio kama wewe. Mna "ujinga wa Kiafrika", anasema Dhahabu Nyeusi. Umemsikiliza Dhahabu nyeusi?