Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijawahi kuona ardhi yeyote ya mgalatia ameuziwa mtu binafsi. na bora alinunua manji, angenunua John pangechimbika.BAKWATA maeneo yao wamemuuzia Manji sasa naona wanatamani na wengine wauze au waporwe ili wote muwe sawa. Wivu mbaya sana
Ardhi hixo ni Mali zao halali.Siyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu.
Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya majeshi yetu na raia kuhusu ardhi.
Kwanini serikali isizirudishe hizo ardhi na kuwapa raia?
. Maeneo ya mashambani wapewe wenye kuhitaji kulima japo eka mbili mbili. Wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji.
Maeneo ya maporini wapewe wafugaji waanze kufundishwa kupanda majani bora ya mifugo kama alfalfa na mengineyo, nao wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwaguliaji. (irrigation). Wakafuge huko badala ya kuwa wahamahamaji, kurandaranda Tanzania nzima wskitafuta majani ya mifugo yao.
Maeneo ys kuishi watu wapewe raia wajenge.
Hii utaendana vizuri na mpango wa mama Samia wa BBT.
Nawakilisha.
Ni kwa vile waislamu hawana maeneo makubwa huyu mjinga kaleta udini wakeWivu mtupu, nyie mlikuwa wapi?
Wenzenu wanatazama mahitaji yao hata baada ya miaka hamsini ijayo, ndio maana wanachukua maeneo makubwa yatakayowatosha kukidhi mahitaji yao.
Badala mkajifunze uwekezaji kwao, akili mbovu inataka wanyan'ganywe ili wote tuwe wachovu tunaaofanana, mtu kuwa na fikra za kimaskini zinazoambatana na chuki, ni mbaya sana kwenye jamii, afadhali uishi na mchawi.
•Watanganyika tunazitaka bandari zetu zote mlizompa mwarabu milele.
Ni mdini huyu ajuza balaaKigagula kwenye ubora wako ni lini tanzania ardhi iliisha,najuwa unawatarget waroma kwa hili umenoa we bibi,waambie ndugu zako suruali fupi watafute mapori makubwa nao wayaendeleze kuhusu watu ,ni wao watakavyoweka huduma nzuri nao watu watazifuata hizo huduma.mwanga mkubwa wewe rudisheni hiyo bandari wewe na huyo mwenzako
Sawa. Tuanze na Bakwata kwanzaSiyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu.
Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya majeshi yetu na raia kuhusu ardhi.
Kwanini serikali isizirudishe hizo ardhi na kuwapa raia?
. Maeneo ya mashambani wapewe wenye kuhitaji kulima japo eka mbili mbili. Wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji.
Maeneo ya maporini wapewe wafugaji waanze kufundishwa kupanda majani bora ya mifugo kama alfalfa na mengineyo, nao wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwaguliaji. (irrigation). Wakafuge huko badala ya kuwa wahamahamaji, kurandaranda Tanzania nzima wskitafuta majani ya mifugo yao.
Maeneo ys kuishi watu wapewe raia wajenge.
Hii utaendana vizuri na mpango wa mama Samia wa BBT.
Nawakilisha.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Itabidi aliyeanzisha mada aanze kuchukua hiyo ardhi. Ili kilemba kimvuke kwanza ndio ajue hajui😂😂😂😂😂😂Bakwata waliuza kila kitu palibakia pale Kinondoni tu
Sema tu Shujaa na Makonda waliingilia Kati na kuleta mfadhili wa kujenga Msikiti wangeshapauza!
Kimbweru!
😂😂😂😂😂😂😂. Hata kujenga ule msikiti ilibidi kuingilia kati. Akili ni nywele, kila mtu ana za kwakeBakwata waliuza kila kitu palibakia pale Kinondoni tu
Sema tu Shujaa na Makonda waliingilia Kati na kuleta mfadhili wa kujenga Msikiti wangeshapauza!
Kimbweru!
Achana na huyo ajuza ni sababu ameona misikiti haina naeneo makubwa utadhani wao wanazuiwa kununua.Ard
Ardhi hixo ni Mali zao halali.
Mathalani, Wakatoliki wamekuwa wakitwaa ardhi au kununua ardhi ktk maeneo ya vijijini maporini wakati maeneo husika yakiwa bado hayajaendelea vizuri.Wanachukua ardhi kubwa, mji unapokuwa na kuwa Mjini wao tayari wanakuwa wanamiliki ardhi kubwa, wao wanakuwa tayari wameshatangulia kufika na ukuaji wa mji unawafuata nyuma. Hii ndio imekuwa sababu kubwa sana ya Wakatoliki kumiliki ardhi kubwa na prime ktk maeneo ya mijini na vijijini.
Wewe bibi safari hii utaongea kila lugha.....nani aliwaambia Bakwata wauze ya kwao?...anzia pale kwenye msikiti wenu wa kinondoni...Bakwata & phantomSiyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu.
Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya majeshi yetu na raia kuhusu ardhi.
Kwanini serikali isizirudishe hizo ardhi na kuwapa raia?
. Maeneo ya mashambani wapewe wenye kuhitaji kulima japo eka mbili mbili. Wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji.
Maeneo ya maporini wapewe wafugaji waanze kufundishwa kupanda majani bora ya mifugo kama alfalfa na mengineyo, nao wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwaguliaji. (irrigation). Wakafuge huko badala ya kuwa wahamahamaji, kurandaranda Tanzania nzima wskitafuta majani ya mifugo yao.
Maeneo ys kuishi watu wapewe raia wajenge.
Hii utaendana vizuri na mpango wa mama Samia wa BBT.
Nawakilisha.
Wewe bibi safari hii utaongea kila lugha.....nani aliwaambia Bakwata wauze ya kwao?...anzia pale kwenye msikiti wenu wa kinondoni...Bakwata & phantom
Tatizo kubwa kwa upande wa taasisi za dini za kwa mleta mada (Faiza Fox) kukosa kumiliki maeneo mengi au ardhi kubwa ni kutokana na ukosefu wa elimu dunia kiasi cha kuwafanya wasiwe na muono wa kuweza kuona mbali kifikra.Wewe ajuza huna akili udini umekujaa, peleka hoja zako za kijinga huko
Tuanze na ardhi ya Tanganyika, hekta 6000+ zinazomilikiwa na smz tangu 1970+ huko Makurunge. How comes nchi jirani inamiliki kipande cha ardhi ndani ya nchi nyingine.Siyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu.
Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya majeshi yetu na raia kuhusu ardhi.
Kwanini serikali isizirudishe hizo ardhi na kuwapa raia?
. Maeneo ya mashambani wapewe wenye kuhitaji kulima japo eka mbili mbili. Wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji.
Maeneo ya maporini wapewe wafugaji waanze kufundishwa kupanda majani bora ya mifugo kama alfalfa na mengineyo, nao wawekewe miundombinu ya kilimo cha umwaguliaji. (irrigation). Wakafuge huko badala ya kuwa wahamahamaji, kurandaranda Tanzania nzima wskitafuta majani ya mifugo yao.
Maeneo ys kuishi watu wapewe raia wajenge.
Hii utaendana vizuri na mpango wa mama Samia wa BBT.
Nawakilisha.
Nchi nyingi za duniani zinamiliki ardhi Tanzania. Hata Tanzania tuna miliki ardhi nchi za nje.Tuanze na ardhi ya Tanganyika, hekta 6000+ zinazomilikiwa na smz tangu 1970+ huko Makurunge. How comes nchi jirani inamiliki kipande cha ardhi ndani ya nchi nyingine.
Nyie makobaziUnaongelea "nyie" ndiyo kina nani hao?
Kwanini sa100 auze bandari ya Tanganyika?Unaongelea "nyie" ndiyo kina nani hao?