Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
- Thread starter
- #161
WIZI WAO UNAFURAHISHA WALIANZA NA MV HAPA KAZI SASA WAPO NA MV.MAGOGONIKwanini watanzania wengi wameshtuka kuhusu ukarabati wa kivuko cha MV Magogoni cha kwa gharama za Bilioni 7.5 kwenda kukarabatiwa nchini Kenya.
Lakini ukipitia Tovuti ya TEMESA kwenye eneo la Zabuni hakuna mahali ilipotangazwa zabuni ya kukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni.
Lakini nimepitia pia kwenye Account ya Instagram ya Mbunge wa Kigamboni, Dk Ndugulile naye hakuna post aliyoweka kuhusiana na ukarabati wa kivuko hicho.
Yote haya yanakuza mjadala kwanini asipewe Songoro Marine kukarabati kivuko hicho hapo nchini hadi kipelekwe Kenya?
Wajuzi tuendelee kujifunza
Ukweli Naipenda CCM kwa VIONGOZI WAKE KUWA WAPIGAJI hata JIWE alifungua Akaunti China ya Upigaji