Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

Wanakuwa wamezalishwa na waume za watu na kumsingizia kijana mtoto na ukute kijana kashtuka na kumkataa mtoto.
 
Mimi niliwapata wanaume vilaza mmoja hawezi kuperform anaishia kukulamba lamba mwingine hana uume kabisa anakadudu kama kidole , mwingine hana akilitimamu havuti wala hana huo muda wakuvuta , mwingine ni anaweza kila kitu ila ni malaya . Sasa niambie hapo wawili tu ndio wanajielewa kwa perfomance utaolewa nanani??

Ningumu jomba sasa maana anayehudumia ni haisimami imelala tu unamzuka hata kuperform kimoja kazi
 
Wadada huwa wanazalishwa na kutelekezwa kwa sababu hawa wadada huwa wanashindwa kujua mwanaume yupi ni mkweli na yupi ni muongo, kwa maana kwamba mdada akifuatwa na mwanaume na akaahidiwa ndoa na maisha mazuri huwa anamuamini huyo mwanaume hata kama ni muongo.
NB: Wadada wengi kuwa na watoto wasio na baba anayetambulika..siwalaumu wao, NAWALAUMU WANAUME WANAOWADANGANYA NA KUWAPA UJAUZITO HAO WADADA.
 

Nafurahishwa sana na comments zako. Huyo anayehudumia mngeyajenga tu na kutafuta ufumbuzi wa hiyo shida maana hakuna binadamu asiye na kasoro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakati mwingine wanaume tulio na familia tunapitia wakati mgumu sana, mrembo anakaa njiani kabisa akijua hauwezi kumkwepa kama unaijua kazi vizuri. Ukimwambia nina familia anakujibu hilo alinihusu, ni Mimi na wewe sio Mimi na nyinyi hapo unajiongeza unabutua kuwaokoa wanaume wengine kudharauliwa. Mwisho ni kuwa na mtoto wa baba asiyejulikana lakini RESPONSIBLE.
 
Matatizo ya nguvu za kiume kwa mwanaume sababu kubww ni kukosa ushirikiano wa mwanamke
 
Sasa nimejua Kumbe nyinyi wanaume wenye familia ndio mnaoongeza idadi kubwa ya single maza
 
Wapo hawataki kusema mababa wa watoto wao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huwezi kujua kwanini wameamua kunyamaza tu. Maana haya mambo huwa yanahitaji umakini sana. Mwanzo huwa unaonekana mtamu sana lakini kadri siku zinavyokuwa zinasogea mambo huwa yanabadirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…