Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

Mie sijui na familia zinachangia ama shida ni nini,mimi kwetu tupo wasichana wengi lakini kila mtu kaolewa na yuko na familia yake, sasa kuna familia naijua kila binti ameleta pale mtoto wake alafu yeye akaenda mjini kuendelea na mishe zake sasa shida ni nini mie mbona sielewi?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Nyie wabovu
 
Hili naona lipo kwenye ukoo wenu. Angalia na wewe usije zalishwa halafu ukashindwa mjua baba wa mtoto.
Rudia usome tena ulichoandika angalia huu ushuzi ulioutoa hapa tumia ata akili ya kuku tu kufikiria kwamba kuna kitu ungepungukiwa ama ongeongeza kama ungeamua kupita bila kuandika chochote heshima ni kitu cha bure
 
Sasa mbona unatumia maneno ya hasira. Ugomvi unatokea wapi wajameni? Nimechangia tu kwa upendo kwako. Umekuwa mkali.... Hutaki tuchangie uzi? Why lakini mtanzania mwenzangu? Shida iko nini?
 
Wanawake wa kisasa wameaminishwa ujinga na ushetani wa u "feminism* kuwa eti mwanamme ni chombo cha kuwabandika mbegu tu na hahitajiki baada ya hapo. Imefikia mpaka sasa qanawake wsnijiwezankidogonwsnaenda kupachikwa mimba za maabara bila ya tendo. Kama ng'onbe.

Mambo hayo yanapingana kabisa na imani kuu za kidini. Matokeo wasagaji na mashoga wanazidi.

Asilimia kubwa ya ",single mothers" ni msago.
 
Mbaya sana
 
Dunia inaendelea na safari kwa speed,
na bado itawashangaza wengi, huku wengi ikiwaacha njiani.

Kila kitu kilichomo duniani ni uzao wa dunia yenyewe. Hatutaweza kuidhibiti dunia kwa sababu ya kila nuclei inajipambanua kuonyesha uwezo wake na kuziweka mythical ideologies kwenye uhakika wa kuvunjika na kupotea.
 
Wewe ni shoga?
 
Mada ni hii, "Kwa nini Wadada wengi Siku hizi Wanazaa bila kujulikana baba zao".

Nimempa tafakari ya Social Change. Sijaku quote wewe.

Tafuta unayemhitaji kwengine.
Mimi nimekuuliza wewe ni shoga?

Ukitaka kuongea na mtu mmoja tu uwe unamtumia private message.

Hili jukwaa la wazi, kila utachoandika sote tunakiona na sote tunaweza kuchangia.
 
Kwa Sasa wanawake Wana mahusiano Mengi Ili kushindana na wanaume. Hivyo ngoma draw. Likitokea suala la mimba ndo shida maana mwanaume anajua fika kama hayupo peke yake hivyo mimba zinakataliwa mwishowe baba wa mtoto hajulikani. Miaka ya nyuma watu walijitahidi kuishi Kwa uaminifu bila shaka lolote. Tuendelee kuishuhudia Dunia inavyoenda kuzalisha watoto wasio na baba.
 
Back
Top Bottom