Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

inawezekana maisha ya mbeleni hawa dada zetu naona wanaelekea kule kwenye njia za upandikazaji wa mbegu bila kuhitaji mwanaume
hawa bila mchi hawaishi mkuu nimekaa pale hawa shida wanapenda kunyanduana mara kwa mara matokeo yake ndo hao watoto wasio na baba yan kuna wadada wengine kwa mtoto mmoja anataja baba watatu atakaekubali ndo huyohuyo
 
Zinaa!!! Tunaichukulia zinaa kitu cha kawaida sana mbaya zaidi hao wa kuzini nao mpaka mimba kuingia na mtoto kuzaliwa hawana muda wala uhitaji na hao viumbe waliozaliwa
Janga hili
 
Kuna mmoja kipindi Yuko kwenye prime alikuwa hata simu hapokei Sasa hivi kachakazwa naona ananitafuta [emoji3]


Ni mwendo wa kumpiga matukio
Kuna huyu mmoja bhana alikuwa alikuwa shombe hivi la kiarabu ,tunamaliza form 4 aliolewa na jamaa yake ni mwarabu kabisa .

Miaka ikaenda kipind anaolewa alikuwa hataki nawasaliano na sisi na namba akabadili tena akawa hataki ndugu yake atoe namba ,sasa kazalishwa watoto wawili japo kaolewa ila karudisha mazoea kwetu ila ni mda sana 🤣🤣.

Alitutafuta wenyewe mmoja badala ya mmoja ,ukichat nae anakuuliza namba ya fulani yaani wale watu wake wa kitambo.
 
Dada zetu muda mwingne ni wapuu** mfano natolea ambao nshawah kuuona kuna wadada kama wanne hv ila ngj nitolee mmoja huyo ni alikuwa mwanachuo chuo x sasa kabla ya kwenda chuo alikuwa na washkaj wanapiga siku zinapta muda wa kwenda chuo ukafka akaenda chuo alivyofika huko lazima mwendo ulikuwa uleule kupigwa tu akirud likizo anakutana na aliowaacha mtaani hio ikawa ni lifestyle yake sasa siku moja alikuja likizo ana kama week 3 ikagundulika kuwa ana ujauzito akaamua kumpa mmojawapo pale kitaa zikapata kama siku 4 baada ya kumshikisha mshkaji mimba akaamua waende wakapime kwa uthibitisho walivyopima ukakutwa una karbia miez miwili na yeye hana mwezi tangu atoke chuo ikabak kumuuliza mwenye mimba hata hamjui kwahy Kwao wanaona sio tatizo vitoto hivi vinatumika sana pia tamaa nazo zinawaponza sana vitazalishwa had akili iwakae sawa
 
Hatari ...kwa kweli balaaa. Wanawake wanakuomba uwatie mimba tuu wanasema kulea watalea wenyewe. Sijui nimtie mimba huyu mrembo
 
Kwa kweli watoto wa chuo tamaa zinawaponza yaani mwanachuo umuwekee laki mbili anakupa linda.
Wazazi jamani jipangeni kuhamikisha watoto wenu wa kike wakifuka chuo wawe wanapata huduma nzuri ya mahitaji yao.
 
Baba zao wanajulikana...

Mambo yao waachie wenyewe...
 
Kwa kweli watoto wa chuo tamaa zinawaponza yaani mwanachuo umuwekee laki mbili anakupa linda.
Wazazi jamani jipangeni kuhamikisha watoto wenu wa kike wakifuka chuo wawe wanapata huduma nzuri ya mahitaji yao.
Khai kupewa sijui hela ya matumiz sio kwamba ndo hatoyafanya hayo me ngj nikubaliane na wanaosema kwamba mwanamke mwenyewe hajui anapenda nin maana hata hao wanaopewa hela ya matumiz na wazazi bado nao wanaliwa labda kikuwa ni kuwaombea tu wasipate magonjwa maana mtoto akifika chuo japo sio wote akikutana na marafk wengne had tabia inabadilika tuwaombee pia sio kuwapa hela za matumiz tu maana kama mtoto wa kike ameshaonja mapenzi akiwa sekondari sio rahis kuacha akienda chuo
 
Ah na hawa bwana wakishaonja de liboloz ni balaaa mzazi ukiongea u aonekana fala tuu sii kashambiwa yeye mzuri sasa kazi kwishney hapo.

Aisee kwa mambk tunayowafanya hawa wanawake wa chuo, peponi tutapasikia tuu😭😭😭😭😭
 
Ah na hawa bwana wakishaonja de liboloz ni balaaa mzazi ukiongea u aonekana fala tuu sii kashambiwa yeye mzuri sasa kazi kwishney hapo.

Aisee kwa mambk tunayowafanya hawa wanawake wa chuo, peponi tutapasikia tuu
 
Huu ni mpira tu kwa vile jinsia "KE" ndo wanabeba mimba ,je hao jamaa wana watoto watatu kwa wanawake tofauti na hwajaoa kabisa mnawachukuliaje?

Hao wanawake wanazaa bila ya kukutana na wanaume ?
 
Hili naona lipo kwenye ukoo wenu. Angalia na wewe usije zalishwa halafu ukashindwa mjua baba wa mtoto.
 
Mie sijui na familia zinachangia ama shida ni nini,mimi kwetu tupo wasichana wengi lakini kila mtu kaolewa na yuko na familia yake, sasa kuna familia naijua kila binti ameleta pale mtoto wake alafu yeye akaenda mjini kuendelea na mishe zake sasa shida ni nini mie mbona sielewi?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Umri chief wengine wanaona ashafikisha 30+ jua la jioni hili hapa na hakuna mwanaume anayelekea kumuoa anaona ajibebee mimba azae tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Da Maua, kwann lakini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…