Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

Masikini ya Mungu hao "wadada" wsmetumiwa kama kondom kwa ujibga wao tu wakatupwa.


Kuns taasisi moja naifahsmu kazu yake ni kusaidia wanawaje wote wenye watoto waliotrlekezwa na baba zao.

Ataetaka nimpe contacts za huko aseme tu, atasaidiwa kwa hali na mali kuwalea watoto wake yeye mwenyewe, wanachofanya wao ni kukutafutia mume wa kukuoa mlee watoto pamoja.

Inasikiitisha sana. Si rahisi mwanamke kulea vizuri watoto akiwa pekeake.
 



[emoji3][emoji28]
Mambo ya kusilimishwa tena Kwa wasio Waislam?

Mmnh! [emoji848]
 

Acha kuisingizia sayansi kwa upuuzi wa dini,watu wamepata uzao kupitia sayansi baada ya njia za kiasili kushindikana,halafu tangu lini kila mwanadamu wafanane katika maamuzi na maisha yao.
 
Acha kuisingizia sayansi kwa upuuzi wa dini,watu wamepata uzao kupitia sayansi baada ya njia za kiasili kushindikana,halafu tangu lini kila mwanadamu wafanane katika maamuzi na maisha yao.
Siisingizii chochote sayansi, naona umekuja na mihemko. Matatizo ya kiafya yanajulikana lakini hapa inaongelewa kina mama waliokuwa na watoto bila mababa zao? Umeelewa kijana.

Njia bora ya kipekee ya maisha ni kujisalimish kwa Muumba wako. Nayo ni Uislam pekee. Fikiri.
 
Sema nn ww jamaa unanondo sana ,unasepeak exactly kinachoendelea mitaani,wengi wa wanawake waliozalishwa nawako nyumbani tu inatokana natabia zao wenyewe tu.kama ulivyoelezea hapo juu.mwanamke anaweza kudiriki kuzaa namwanaume ambae anajua dhahiri shahiri hawezi muoa ila yy anadai anataka mbegu ya huyo mwnaume..kama alivyozaa faiza ally mtoto wake wakiume.. wanawake wengine hujibebesha mimba bila makubaliano nawapenzi wao pia,unakuta njemba wala haina mipango nae bali inasuuza rungu tu,yy anajibebesha mimba akidhani mwamba atababaika labda unakuta njema inamke au haikua nampango nae wowote.wanawake wajitambue.
 
Kwa hiyo una mpwa na mjomba lakini haujui shemeji wala mjomba?😂
 
Uislamu pekee?Acha sound zako mkuu.Usipolikiri jina la Yesu unakwama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…